Kuna conspiracy theory ilienea kuwa Israel walikuwa na intelligensia kuhusu tukio la October 7, 2023, lakini hawakutoa onyo kwa wananchi wake , sababu ni kuwa walitaka excuse ya kuwamaliza kabisa waPalestina. It is a conspiracy no longer..
Afrika tuna ya kwetu lkni kama yanayoendelea Sudan Kusini, na Nigeria dhidi ya Wakristo