Al-Jazeera: Kwaashambulizi ya Makombaora ya Jana, Iran Imeua Wapalestina Zaidi Kuliko Wayahudi

Al-Jazeera: Kwaashambulizi ya Makombaora ya Jana, Iran Imeua Wapalestina Zaidi Kuliko Wayahudi

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
7,021
Reaction score
11,475
Screenshot_20241002_153311_X.jpg
Kwa taarifa rasmi ya Al Jazeera, waathirika wa mtafaruku huu ni Wapalestina. Kumbe Iron Dome inalinda Wayahudi vuzuri sana.
 
Shule umesoma kweli? hata kutafsiri hujui ...Ushabiki maandazi .

Wakat hayo ni mashambulizi yanaendelea huko
Soma na hii basi uniambie ni wayahudi wangapi wamekufa

Screenshot_20241002_163504_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom