mayounger
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 693
- 670
Duh! Umekurupuka mbaya mbovu hahahahaha 😂😂😂 Ameshambulia Israel we unakurupuka na Iran dah 🤣🤣🤣View attachment 3113240 Kwa taarifa rasmi ya Al Jazeera, waathirika wa mtafaruku huu ni Wapalestina. Kumbe Iron Dome inalinda Wayahudi vuzuri sana.