mayounger JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 693 Reaction score 670 Oct 2, 2024 #21 Huihui2 said: View attachment 3113240 Kwa taarifa rasmi ya Al Jazeera, waathirika wa mtafaruku huu ni Wapalestina. Kumbe Iron Dome inalinda Wayahudi vuzuri sana. Click to expand... Duh! Umekurupuka mbaya mbovu hahahahaha πππ Ameshambulia Israel we unakurupuka na Iran dah π€£π€£π€£
Huihui2 said: View attachment 3113240 Kwa taarifa rasmi ya Al Jazeera, waathirika wa mtafaruku huu ni Wapalestina. Kumbe Iron Dome inalinda Wayahudi vuzuri sana. Click to expand... Duh! Umekurupuka mbaya mbovu hahahahaha πππ Ameshambulia Israel we unakurupuka na Iran dah π€£π€£π€£
Huihui2 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 7,021 Reaction score 11,475 Oct 2, 2024 Thread starter #22 Mungik said: Du mwenyewe anachangia kabisa,mtihani huu. Click to expand... Kwani kuna shida gani? Hiyo ni style tu ya uwasilishaji
Mungik said: Du mwenyewe anachangia kabisa,mtihani huu. Click to expand... Kwani kuna shida gani? Hiyo ni style tu ya uwasilishaji
Huihui2 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 7,021 Reaction score 11,475 Oct 2, 2024 Thread starter #23 Black Sniper said: Huyu ndio yule mkalimani wa enzi zileee alietuaibisha duniani Click to expand... Yule mkalimani wa Mwakinyo Jr siyo baada ya pambano pale London!! π
Black Sniper said: Huyu ndio yule mkalimani wa enzi zileee alietuaibisha duniani Click to expand... Yule mkalimani wa Mwakinyo Jr siyo baada ya pambano pale London!! π
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Oct 2, 2024 #24 Huihui2 said: Yule mkalimani wa Mwakinyo Jr siyo baada ya pambano pale London!! π Click to expand... Haswa
Huihui2 said: Yule mkalimani wa Mwakinyo Jr siyo baada ya pambano pale London!! π Click to expand... Haswa
K Kosugi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2019 Posts 16,166 Reaction score 25,197 Oct 2, 2024 #25 Huihui2 said: View attachment 3113240 Kwa taarifa rasmi ya Al Jazeera, waathirika wa mtafaruku huu ni Wapalestina. Kumbe Iron Dome inalinda Wayahudi vuzuri sana. Click to expand... Shida ni kiingereza hujui kijana. Kwa kiswahili habari inasema makumi kwa mamia ya watu wamefariki pindi Israel ilipofanya mashambulizi Gaza. Sasa niambie hiyo habari na kurushwa kwa makombora ya Iran vinahusianaje!?? Tuondolee uchoko hapa.
Huihui2 said: View attachment 3113240 Kwa taarifa rasmi ya Al Jazeera, waathirika wa mtafaruku huu ni Wapalestina. Kumbe Iron Dome inalinda Wayahudi vuzuri sana. Click to expand... Shida ni kiingereza hujui kijana. Kwa kiswahili habari inasema makumi kwa mamia ya watu wamefariki pindi Israel ilipofanya mashambulizi Gaza. Sasa niambie hiyo habari na kurushwa kwa makombora ya Iran vinahusianaje!?? Tuondolee uchoko hapa.
john issa JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 856 Reaction score 1,638 Oct 2, 2024 #26 Huihui2 said: View attachment 3113240 Kwa taarifa rasmi ya Al Jazeera, waathirika wa mtafaruku huu ni Wapalestina. Kumbe Iron Dome inalinda Wayahudi vuzuri sana. Click to expand... huwa najua watu wanaoandika habari za vita hapa jf wasomi kunizid sana ndio maana huwa siandiki chochote kuhusu vita, kumbe ndio hawa
Huihui2 said: View attachment 3113240 Kwa taarifa rasmi ya Al Jazeera, waathirika wa mtafaruku huu ni Wapalestina. Kumbe Iron Dome inalinda Wayahudi vuzuri sana. Click to expand... huwa najua watu wanaoandika habari za vita hapa jf wasomi kunizid sana ndio maana huwa siandiki chochote kuhusu vita, kumbe ndio hawa