AL JAZEERA ni kituo cha HAMAS

AL JAZEERA ni kituo cha HAMAS

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Utoaji wake wa habari umeegemea upande mmoja wa kupendelea kikundi cha kigaidi cha HAMAS.

Al Jazeera ni kituo cha habari cha hovyo.
 
Utoaji wake wa habari umeegemea upande mmoja wa kupendelea kikundi cha kigaidi cha HAMAS.

Al Jazeera ni kituo cha habari cha hovyo.
Na CNN,BBC na FOX News ndio vituo makini?Wacha bangi.Al Jazeera ndio kituo pekee kisichopuliza filimbi ya Nchi za Magharibi.Na kwa sababu upo brainwashed lazima habari zao zikuudhi.Soma Bwashee wacha kuganda kuuza hicho kiduka hapo Bondeni Arusha. Ukiwa na upeo wa kuchanganua mambo itakuwa rahisi kuelewa. Hayati Nelson Mandela alikuwa gaidi?Kwa mujibu wa vyombo vyako vya habari alikuwa gaidi.Wewe unaamini Nelson Mandela alikuwa gaidi?
 
Aljazeera wana weakness ya kuwa na bias katika baadhi ya taarifa zao sio zote lakini, japo ndio chanzo changu kikuu cha taarifa za kivita huko Gaza maana wameipa full coverage hiyo vita huko field tofauti na vyombo vingine. Nawapa big up sana Aljazeera, wanaupiga mwingi huko field vitani.
 
Kunaweza kuwa na ukweli ndani yake! Makao makuu ya aljazeera yako Doha,Qatar! Qatar ni moja ya nchi zinazokifadhili kikundi cha Hamas! Na kuna ofisi za Tawi la Hamas.
Hata hivyo al jazeera ni moja ya vituo vinavyotoa habari za uhakika na updated,na hawako biased!
 
Back
Top Bottom