Al Jazeera wameshare video za wahamiaji wakipigwa South Africa

Al Jazeera wameshare video za wahamiaji wakipigwa South Africa

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
I think kama hii kitu iko on the rise basi ni muda wa kurudi nyumbani. Like seriously how can you live with these people 🄷
Watu wavivu, masikini wasiopenda kufanya kazi, wanasingizia matatizo yao yote kwa foreigners
Huwezi kukuta Msouth Africa aliyefanikiwa kimaisha akifanya huu ujinga. It's always the poor, ignorant and jobless South Africans wanaenda kumalizia hasira zao kwa African foreigners
 
Halafu tuna mtangazaji anaitwa Maulid Kitenge akapost X huku akiuliza kwa kejeli hizo vurugu ziko wapi.

KIpanya akawafananisha na toilet paper wakakasirika.
 
Halafu tuna mtangazaji anaitwa Maulid Kitenge akapost X huku akiuliza kwa kejeli hizo vurugu ziko wapi.

KIpanya akawafananisha na toilet paper wakakasirika.
Hao ndio Madam Ritha anawaita media uchwara uchwara
 
Back
Top Bottom