Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Kwakuwa Mbowe sio Mwenyekiti wa CDM kwa wakati huu, hili litawezekana sasaHakuna kitu rahisi kwa sasa kama kuiomba Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kuanzisha uchunguzi dhidi ya Samia na Viongozi wa vyombo vya dola vya Tanzania kwa makosa dhidi ya Ubinadamu ya Enforced disappearance na Extra Judicial killings (Murder).
Kwa namna anavyotangazwa duniani kwa sasa, ni move moja tu ya Chadema kwenda ICC inamaliza hili Jambo. Ndani ya muda mfupi tutaona Hati za Kukamatwa zimetolewa dhidi ya Samia na Viongozi wake wa vyombo vya dola.
Nimewapa ushauri wangu Chadema. Kama wako Serious kweli kuibadilisha Tanzania wakomae sasaivi na kuiomba ICC kuanzisha Uchunguzi rasmi.
Watumie Wanasheria wa ndani na nje ya nchi kulikamilisha hili.
Hakuna haja ya kufika huko. Hawa dawa yao ni kuchunguzwa na ICC na badae zinatolewa rasmi Hati za Kuwakamata.polisi wamekana kuwa sio wao.kama kawaida yao.
Tungekuwa ni umiliki wa silahaa unatoa hata kafara ili wasiwe wanakana
Watakimbilia kuhusu amaniHakuna haja ya kufika huko. Hawa dawa yao ni kuchunguzwa na ICC na badae zinatolewa rasmi Hati za Kuwakamata.
Hati zinatolewa kumkamata Samia, DGIS, IGP, Kamishna Awadh, SACP Mafwele, RC Mbeya Homera, Waziri wa Tamisemi Mohamed Mchengerwa, Katibu wa Rais Wazir Salum.
Patakua na kitengo maalumu mzee kwa ajili ya mambo haya ila wanavaa mavazi na kutumia magari yao..polisi wamekana kuwa sio wao.kama kawaida yao.
Tungekuwa ni umiliki wa silahaa unatoa hata kafara ili wasiwe wanakana
Hakuna amani kwenye kuwateka, kuwaua na kuwapoteza watu.Watakimbilia kuhusu amani
Nadhani hili linatakiwa kufanyiwa kazi haraka sana ili upuuzi huu usiwepo tena, nchi hii ni yetu sote. Haiwezekani HAWARA wa Rais akatusumbua watu milioni 60+ namna hii.Hakuna haja ya kufika huko. Hawa dawa yao ni kuchunguzwa na ICC na badae zinatolewa rasmi Hati za Kuwakamata.
Hati zinatolewa kumkamata Samia, DGIS, IGP, Kamishna Awadh, SACP Mafwele, RC Mbeya Homera, Waziri wa Tamisemi Mohamed Mchengerwa, Katibu wa Rais Wazir Salum.
Weweeeee hzo ni minor prevalence hawelawez kutumia resources kwa heresay labda wawe wamebadikisha policy zao wasifanye uchunguz Kenya walikovamia bunge au kongo au Sudan waje kuharibu resources kwa watu wanakula vzr wacha uzwazwa kuna threshold of cruelty bado hata kuangaziwa Tanzania badoHakuna kitu rahisi kwa sasa kama kuiomba Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kuanzisha uchunguzi dhidi ya Samia na Viongozi wa vyombo vya dola vya Tanzania kwa makosa dhidi ya Ubinadamu ya Enforced disappearance na Extra Judicial killings (Murder).
Kwa namna anavyotangazwa duniani kwa sasa, ni move moja tu ya Chadema kwenda ICC inamaliza hili Jambo. Ndani ya muda mfupi tutaona Hati za Kukamatwa zimetolewa dhidi ya Samia na Viongozi wake wa vyombo vya dola.
Nimewapa ushauri wangu Chadema. Kama wako Serious kweli kuibadilisha Tanzania wakomae sasaivi na kuiomba ICC kuanzisha Uchunguzi rasmi.
Watumie Wanasheria wa ndani na nje ya nchi kulikamilisha hili.
Hati zikitolewa tatizo linaisha?Hakuna kitu rahisi kwa sasa kama kuiomba Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kuanzisha uchunguzi dhidi ya Samia na Viongozi wa vyombo vya dola vya Tanzania kwa makosa dhidi ya Ubinadamu ya Enforced disappearance na Extra Judicial killings (Murder).
Kwa namna anavyotangazwa duniani kwa sasa tena na vyombo vikubwa kabisa vya habari duniani, ni move moja tu ya Chadema kwenda ICC inamaliza hili Jambo. Ndani ya muda mfupi tutaona Hati za Kukamatwa zimetolewa dhidi ya Samia na Viongozi wake wa vyombo vya dola.
Nimewapa ushauri wangu Chadema. Kama wako Serious kweli kuibadilisha Tanzania wakomae sasaivi na kuiomba ICC kuanzisha Uchunguzi rasmi.
Watumie Wanasheria wa ndani na nje ya nchi kulikamilisha hili.
Hearsay?Weweeeee hzo ni minor prevalence hawelawez kutumia resources kwa heresay labda wawe wamebadikisha policy zao wasifanye uchunguz Kenya walikovamia bunge au kongo au Sudan waje kuharibu resources kwa watu wanakula vzr wacha uzwazwa kuna threshold of cruelty bado hata kuangaziwa Tanzania bado
Tutaona kama halitaisha. Kikubwa zitolewe.Hati zikitolewa tatizo linaisha?
Wangapi hati za kukamatwa zilitolewa mpaka leo wanadunda tu.
Kesi inahitaji ushahidi sio hizo claims.