Al Jazeera yazidi kuikalia kooni serikali ya Rais Samia

Amka kumekucha.
 
Mwanamke mpumbavu uvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe....je mwanamke mpumbavu na aliye laaniwa ufanyeje?
 
Ni Lissu tu ndani ya chadema anayeweza kuchukua hatua kama hiyo, hawa wengine walioko uraiani sidhani.
 
Ni Lissu tu ndani ya chadema anayeweza kuchukua hatua kama hiyo, hawa wengine walioko uraiani sidhani.
Chadema hawana Diaspora?

Hawana Wanasheria?

Kwa nini wamtegemee Lissu kufanya haya? Kama wameweza kwenda hadi IDU kwa nini washindwe kwenda ICC?

Wasipofanya nao watakuwa kwenye payroll ya Viongozi wa CCM kama Chaumma.
 
Wewe endelea tu kusifu Mama Mama Mama, muda uta amua mambo.
 
Mwanamie mpumbavu uvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe....je mwanamke mpumbavu na aliye laaniwa ufanyeje?
Yaani inaumiza sana watu wanaacha familia zao zikiteseka kisa uongozi na huo uongozi wenyewe hakuna wa kuuchukua kwa kipindi cha karibuni labda ubunge yaani pana muda hautakia hata kuangalia news za Tanzania maana ni kutekana na kuuana kila kukicha kwa vitu ambavyo visivyoeleweka..
 
Ukiacha ujingaujinga utasikilizwa.
 
Ndo mana wanashauriwa wazitumie kuchukua hatua stahiki
Unawashauri kuchukua hatua, je umewapa ushahidi wa kupeleka icc?
Au unazani ukienda kullamika tu wanaanzisha ushahidi? Lazima uwe na ushahidi wa kuwafanya wachunguze.
 
Unawashauri kuchukua hatua, je umewapa ushahidi wa kupeleka icc?
Au unazani ukienda kullamika tu wanaanzisha ushahidi? Lazima uwe na ushahidi wa kuwafanya wachunguze.
Kwani hawana ushahidi? Taarifa za Waliotekwa zipo hata humu JF. Kuna uzi humu utafute kuku wewe.
 
Kinachoniumiza Mimi zaidi ni kuuza Mali za nchi kwa waarabu na mabeberu kwa kubadilishana na damu za Watanzania
Kinacho umiza zaidi ni hizo fedha zinavyotumika Kwa lipa watu kuuda Chama kipya Cha upinzani (G55) wamepewa Kila mmoja Tsh 100M huku hatuna dawa Hospitalini ,Barbara ni mbovu,wanafunzi wanakaa chini.
 
Hati zikitolewa tatizo linaisha?
Wangapi hati za kukamatwa zilitolewa mpaka leo wanadunda tu.

Kesi inahitaji ushahidi sio hizo claims.
Tupe mfano wa mtu angalau mmoja ambaye anadunda hadi sasa baada ya hati kutolewa. Wako wapi akina Omar Hasan al-Bashir - Sudan, Rodrigo Duterte - Ufilipino, Charles McArthur Ghankay Taylor - Liberia, n.k?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…