Al Jazeera yazidi kuikalia kooni serikali ya Rais Samia

Ahmed Haroun, Benjamin Netanyahu, Yoav Gallant, Vladimir Putin, Min Aung Hlaing n. K
Hata huyo al- Bashir hayuko icc
Al- Bashir ameanza kushughulikiwa na watu wake kwanza, Rodrigo Duterte - Ufilipino na Charles McArthur Ghankay Taylor - Liberia wameshughulikiwa baada ya kutoka madarakani. Hao wengine bado wapo madarakani, unadhani wataendelea kutawala milele? Safari yao ya majuto na malipizi itaanzia siku watakapotoka madarakani tu. Time will tell
 
Samia must Go
Huyo hatoki bila ya damu ya kutosha kumwagika na ninacho waakikishia, kama akifanikiwa kuongoza miaka mitano ijayo basi atafanya ushenzi ambao hakuna mtu hata amini macho wala masikio yake ni lazima hata anza vuguvugu la damu na rushwa na uchawa kutaka kuongoza hadi 2035 au la.... ndugu yake au mtoto wake ..kwa nini atafanya hivyo? ni kwa sababu hadi mwishoni mwa hiyo miaka atakuwa kachafua sana nchi kwa damu ...ufisadi uovu wote mauaji nk... hivyo kuachia madaraka itakuwa si salama kwa yeye na wale walio chafua nchi pamoja naye....hivyo hofu ya kupatilizwa itakuwa kubwa juu yao ...hivyo kwa pamoja wata azimia kumbakisha madarakani kwa kisingizio cha miaka yake 10 nje ya ile minne ya jpm
 
Nilitegemea unikosoe kuwa hao niliowataja hawajatolewa hati na icc.
Unatakiwa kubisha baada ya kuwa na info sahihi.
 
Naendelea kuamini kuwa wana CCM na baadhi ya viongozi wa Serikali wanampiga vita Mama kwa njia ambazo wanaonekana wako pamoja naye.Wanafanya hivyo kwa makusudi ili aharibikiwe.
Kwa sasa ni hakika naye anatakiwa agundue jambo hilo ili ajinasue.
 
Hili swala limemchafua sana huyu mama kunauwezekanao kuna watu wapo nyuma yake juu ya hili ila anayeonekana mbaya mwisho wa siku ni yeye na hata akitoka madarakani still watu watakuwa na picha mbaya juu yake.
 
Umetaka mifano Nimekupa, hayo mengine jifariji tu.
Nikitegemea unikosoe kuwa hao nikiowataja hawajatolewa hati na icc.
Rodrigo Duterte alikuwa kama mungu huko Ufilipino. Wapinzani wake alipaa nao angani kwa kutumia chopa na kisha kuwaachia hewani na kupasuka vipande vipande. Mungu mkubwa leo hii yuko huko anajibu mashitaka yake.

Mama yako Samia amechinja akina Soka, Mdude na kuua kikatili akina Mzee Kibao na wengineo wengi. Hawezi kutawala milele, ATAFIKIWA TU.
 
Rodrigo Duterte alikuwa kama mungu huko Ufilipino. Wapinzani wake alipaa nao angani kwa kutumia chopa na kisha kuwaachia hewani na kupasuka vipande vipande. Mungu mkubwa leo hii yuko huko anajibu mashitaka yake.
Hizi story hazinisaidii.
Ulitaka ushahidi wa watu waliotakiwa na icc na bado hawajakamatwa kama wapo. Nimekupa. Hizi blah blah kaa nazo tu.
 
Mama muda wote akihutubia Taifa anakua na jazba wahuni wanamtengenezea mazingira tu ili waibe hao wanasheria wanaotengeneza kesi huko mahakamani hakuna kitu wanajua zaidi ya kutumia polisi hao hao kusema upelelezi haujakamilika na kupeleka tarehe za mbali huko ili kusikiliza kesi yenyewe..
 
Ushauri mzuri sana huu,huu ndo muda wa kuuangusha utawala wa mzanzibar na CCM yake
 
Ndio vizuri watangaze sana,ili wengine wapzmbavu kama huyo mkenya,waogope kuleta upumbzvu wao Tanzania.Waebdelee kutusaidia kuitangazia dunia kuwa Tanzania sio ya kuichezea.
 
Durtete alimpa kesi Mnaigeria ya Unga na kumuua kisa alikua ana urafiki na viongozi wa chama cha upinzani Rais wa Nigeria wa wakati huo alituma watu kwa ushahidi na kumuomba ikiwezekana afungwe jamaa alikataa akamchapa risasi hadharani na kile kikosi chake alivyoambiwa anatakiwa huko The Hague alidhani ni utani yupo huko..
 
Tanzania haichezewi tena,wazidi kutangaza ili wapumbavu wengine,waogope kuleta upumbavu wao hapa Tznzania.Mtu atoke nchi nyingine alete ujinga Tanzania.Safi sana wana usalama Tanzania.Tandika kabisa hao wehu.
 
Hatari sana Tanzania hivi sasa kuna watawala sio viongozi enzi za viongozi zimeyeyuka.
 
Hotuba inandaliwa na hawara, serengeti boy wake unatarajia itakuwaje? Yeye kazi yake ni kuisoma tu huku akiwa CHAKARI kwa pombe.
 
Hakuna kuleta upumbavu,vyombo vya usalama ,viwatandike hao wapumbavu
 
Hao wapumbavu kutoka Kenya ndio wakushtakiwa limataifa.Utoke nchi nyingine uje ufanye fujo nchi nyingine.Hiyo mahakama ya kimataifa hata raia wa kawaida anashtakiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…