ICJ sio 😁😁Broo endelea kuwaandikia CHADEMA huu ni muda sahihi kabisa kwao kufile kesi ICJ kwa maana watu wengi wameuwa na kupotezwa na serikali hii. ICJ wanaweza wakasaidia nchi hii kujitoa kwenye makucha ya CCM
Kinachoniumiza Mimi zaidi ni kuuza Mali za nchi kwa waarabu na mabeberu kwa kubadilishana na damu za Watanzania
Huu ni ushauri bora zaidi mwaka huu..Hakuna kitu rahisi kwa sasa kama kuiomba Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kuanzisha uchunguzi dhidi ya Samia na Viongozi wa vyombo vya dola vya Tanzania kwa makosa dhidi ya Ubinadamu ya Enforced disappearance na Extra Judicial killings (Murder).
Kwa namna anavyotangazwa duniani kwa sasa tena na vyombo vikubwa kabisa vya habari duniani, ni move moja tu ya Chadema kwenda ICC inamaliza hili Jambo. Ndani ya muda mfupi tutaona Hati za Kukamatwa zimetolewa dhidi ya Samia na Viongozi wake wa vyombo vya dola.
Nimewapa ushauri wangu Chadema. Kama wako Serious kweli kuibadilisha Tanzania wakomae sasaivi na kuiomba ICC kuanzisha Uchunguzi rasmi.
Watumie Wanasheria wa ndani na nje ya nchi kulikamilisha hili.
Heko tele ziende kwenye kituo cha Al Jazeera kwa kuendelea kuyamulika yanayoendelea Tanzania.
Jana/ leo wamerusha habari za Boniface Mwangi kutekwa na kuteswa na vyombo vya usalama vya Tanzania.
Kama bado haijatokew basi muda si mrefu itatokea.
Serikali ya Samia itakuja kukifungia kituo cha Al Jazeera kufanya kazi nchini.
Si vigumu kuona kuwa siku za Al Jazeera nchini, zinahesabika.
Tayari sisi ni banana republic. Pia, muda si mrefu tutakuwa ni ‘pariah state’, endapo mambo hayatobadilika haraka.
View: https://youtu.be/0c-Puhlmobo?si=h-qjaw3giJFCsE1B
Kinachoniuma zaidi ni ndugu zetu kutekwa na kuuwawa, mfano waliouwawa na kuacha watoto wadogo majumbani. Haya mambo yanahitaji ICC tu.Kinachoniumiza Mimi zaidi ni kuuza Mali za nchi kwa waarabu na mabeberu kwa kubadilishana na damu za Watanzania
Why wanakaa kimya wakati nchi inachafuliwa KAZI ya chawa ni niniNa steve nyerere
Hati zikitolewa watakua wanyonge na kukosa uhuru wa kuzulula hovyo, we unafikiri Viongozi wakizuiwa wasiende Ulaya si wataumwa.Hati zikitolewa tatizo linaisha?
Wangapi hati za kukamatwa zilitolewa mpaka leo wanadunda tu.
Kesi inahitaji ushahidi sio hizo claims.
Naam!Hakuna kitu rahisi kwa sasa kama kuiomba Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kuanzisha uchunguzi dhidi ya Samia na Viongozi wa vyombo vya dola vya Tanzania kwa makosa dhidi ya Ubinadamu ya Enforced disappearance na Extra Judicial killings (Murder).
Kwa namna anavyotangazwa duniani kwa sasa tena na vyombo vikubwa kabisa vya habari duniani, ni move moja tu ya Chadema kwenda ICC inamaliza hili Jambo. Ndani ya muda mfupi tutaona Hati za Kukamatwa zimetolewa dhidi ya Samia na Viongozi wake wa vyombo vya dola.
Nimewapa ushauri wangu Chadema. Kama wako Serious kweli kuibadilisha Tanzania wakomae sasaivi na kuiomba ICC kuanzisha Uchunguzi rasmi.
Watumie Wanasheria wa ndani na nje ya nchi kulikamilisha hili.
Watubkati msio shida ujaona watu wameomba billion 15 kwa kazi maalum kila mtu anatafuta ugali kwa nguvu sana kutoka kwa huyo mama..Daah sijui nani anamdanganya Mama yaani katika vitu rahisi ni kuongoza Tanzania hata hao wakina Chadema asingetumia nguvu kubwa wangepata Ubunge tu na maisha yangeendelea kwa hiki anachokifanya kupitia jeshi sio kizuri kimetuchafua sana Kimataifa ile heshima ya Tanzania iliyojengeka kwa muda mrefu kutoka kwa Mwasisi Mwalimu JK Nyerere imebomoka sana.
Heko tele ziende kwenye kituo cha Al Jazeera kwa kuendelea kuyamulika yanayoendelea Tanzania.
Jana/ leo wamerusha habari za Boniface Mwangi kutekwa na kuteswa na vyombo vya usalama vya Tanzania.
Kama bado haijatokew basi muda si mrefu itatokea.
Serikali ya Samia itakuja kukifungia kituo cha Al Jazeera kufanya kazi nchini.
Si vigumu kuona kuwa siku za Al Jazeera nchini, zinahesabika.
Tayari sisi ni banana republic. Pia, muda si mrefu tutakuwa ni ‘pariah state’, endapo mambo hayatobadilika haraka.
View: https://youtu.be/0c-Puhlmobo?si=h-qjaw3giJFCsE1B
polisi wamekana kuwa sio wao.kama kawaida yao.
Tungekuwa ni umiliki wa silahaa unatoa hata kafara ili wasiwe wanakana
Hagi hazitolewi kw matamanio na hisia.Hati zikitolewa watakua wanyonge na kukosa uhuru wa kuzulula hovyo, we unafikiri Viongozi wakizuiwa wasiende Ulaya si wataumwa.