Wana JF habari zenu.
Nafikiri kuna watu mbalimbali wameshakutana na vijana mtaani wakiwa wamevaa kanzu na kofia wamebeba chupa za chai na vi-glass vya plastic wanauza sijui huwa ni vitu gani, sijui ndiyo hiyo Al Kasusu?
Naomba anayejua anifafanulie na ina kazi gani hiyo kitu.
Nawasilisha.