hebu nisaidie elimu ya utengenezaji wake i mean namna ya kuipika unaweka nini na nini?NI KINYWAJI FULANI CHA MCHANGANYIKO MBALI MBALI KAMA KAHAWA, MAZIWA N. K, KINASAIDIA WALE WASIO NA UWEZO WA KUMSIMAMISHA AYOUB VIZURI
kwahiyo kwa unavyoijuwa wewe siyo busta mkuu? au kwenu kazi yake ni nini?Huku kwetu tunaita ali kauzu. Ni mchanganyiko wa maziwa fresh na viungi vya chai, wabongo tumeaminishwa kuwa ni busta kama abdallah kichwa wazi hafanyi mambo yake vizuri.
tunapeana elimu mkuuDah mwisho mtakula mavi ya mbuzi
hebu nisaidie elimu ya utengenezaji wake i mean namna ya kuipika unaweka nini na nini?
na cha ajabu kila mtu anaijua dawa ya nguvu za kiume lakini tatizo linazidi kuwa kubwaEti Al Kasusu 😂😂😂!!! Yani tusio na nguvu za Abdalla kichwa wazi tunapelekeshwa sana...tumetoka kwenye vumbi la Congo sahivi tuko uarabuni panapo Al Kasusu!
dadayangu wewe ni mtundu hebu ifanyie majaribio hahahaaaNimesikia leo kwenye magazeti lakini sikuelewa
Naiomba leo na mechiunataka recipe.......?.....Mimi ninayo ya yokozuna.......
unataka recipe.......?.....Mimi ninayo ya yokozuna.......
du sasa si watauwa watu viagra si noma?Matapeli wana akili sana, wanakwenda na bit. Humo hakuna jipya, unachanganyiwa kahawa, maziwa, na makorokoro mengine, lakini cha hakika wanachouza ni viagra. Inasagwa vyema na kuongezwa kwenye mchanganyiko walevi walewe
hahahahaaaaaaaaa sijui nikagongee nyagi????? au bananaWee binti upo? Achana na yokozuna, gongea nyagi tu