Kwan wewe una kula nini mwenzetu
Nipo Zanzibar na ndio kwanza naisikia sasa.Kingsmann, Acha kupotosha ile ni kama kahawa na haina chochote imeanzia Zanzibar, Tanga sasa ipo mitaa ya Lindi, Mtwara na Dar.
Naipenda inafanya mwili urelax na kupunguza maumivu mwilini. Naipendea usafi pia maana vikombe vyake ni single use.
Eti Al Kasusu [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Yani tusio na nguvu za Abdalla kichwa wazi tunapelekeshwa sana...tumetoka kwenye vumbi la Congo sahivi tuko uarabuni panapo Al Kasusu!
Matapeli wana akili sana, wanakwenda na bit. Humo hakuna jipya, unachanganyiwa kahawa, maziwa, na makorokoro mengine, lakini cha hakika wanachouza ni viagra. Inasagwa vyema na kuongezwa kwenye mchanganyiko walevi walewe