Al masry hawakufungwa kisa kukosa ubora bali ubovu wa pitch, CAF ichukue hatua zaidi

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
2,507
Reaction score
4,943
Nitashangaa sana kama kuna mtu anayesifia kwamba sijui "Mkapa imekuwa tishio" timu za Afrika zinaogopa kuja! For what? What non sense is this? Viachwe kuogopwa viwanja vya waarabu na viwanja mashuhuri kama Mohammed V,Stade du 5 Juillet, Cairo au Loftus versfield huko south kije kiogopwe kiwanja ambacho mashabiki muda wote wanapuliza mavuvuzela vuuuuu vuuuuuu vuuuuu vu pyeee pye pyeee utadhani nyuki waliopotea njia! Uogopwe for what? Watanzania tuache kukuza mambo na kupenda kujisifia ujinga! Hapohapo kwenye huo uwanja mtu alishateseka sana sio 4,3 hata 5 wakina Raja casablanca wanajipigia tu, Tuache kukuza mambo! Hilo kombe lenyewe ukienda hapo Kenya tu, hakuna mtu mwenye habari nalo 😀

Tuache porojo na vichaka vya kujificha, Tujenge viwanja vyenye ubora, Kiwanja cha Mkapa pitch ni mbovu mno! Hata ukifuatilia michezo yote iliyochezwa pale kuanzia ile derby ya Kariakoo, Pitch ni mbovu haina hadhi kabisa! Hata Al masry hawakufua dafu kwa sababu mpira ulikuwa hautembei na si kwasababu ya ubora wa mpinzani! Tangu 2023 uwanja unakarabatiwa na bilioni 30 zilitolewa, Labda wahusika watueleze mpira unachezwa kwenye viti au pitch? Nitashangaa CAF mkiruhusu uwanja huu utumike, haitakuwa fair kwa vilabu pinzani, upinzani uonekane kwenye mbinu, mashabiki nk, kama ilivyo huko old trafford, santiago bernabeu nk. sio kwenye ubovu wa pitch!
20250409_184209.jpg
 
Jamani Hili ni Wenge...!

Ikiwezekana lipuuzeni.

Chanzo Cha hili Wenge ni Mechi ya Yanga dhidi ya timu ya Mc Algers..!

Ilihitajika goli Moja tu , Yanga iende robo ikashindikana, Sasa hiyo imesababisha Wenge ambalo ni episodic in nature..!

Simba ikishinda tu na kusonga mbele,Wenge linaamka.

Nyie subirini tarehe 25/5/2025 Wakati Mnyama anakabidhiwa ndoo ya Afrika.! Wenge litaibuka Kwa Kasi na Ukubwa Wa Ajabu Maana 'Berekane' Lzm afe kama Almasry.
 
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Nitashangaa sana kama kuna mtu anayesifia kwamba sijui "Mkapa imekuwa tishio" timu za Afrika zinaogopa kuja! For what? What non sense is this? Viachwe kuogopwa viwanja vya waarabu na viwanja mashuhuri kama Mohammed V,Stade du 5 Juillet, Cairo au Loftus versfield huko south kije kiogopwe kiwanja ambacho mashabiki muda wote wanapuliza mavuvuzela vuuuuu vuuuuuu vuuuuu vu pyeee pye pyeee utadhani nyuki waliopotea njia! Uogopwe for what? Watanzania tuache kukuza mambo na kupenda kujisifia ujinga! Hapohapo kwenye huo uwanja mtu alishateseka sana sio 4,3 hata 5 wakina Raja casablanca wanajipigia tu, Tuache kukuza mambo! Hilo kombe lenyewe ukienda hapo Kenya tu, hakuna mtu mwenye habari nalo 😀

Tuache porojo na vichaka vya kujificha, Tujenge viwanja vyenye ubora, Kiwanja cha Mkapa pitch ni mbovu mno! Hata ukifuatilia michezo yote iliyochezwa pale kuanzia ile derby ya Kariakoo, Pitch ni mbovu haina hadhi kabisa! Hata Al masry hawakufua dafu kwa sababu mpira ulikuwa hautembei na si kwasababu ya ubora wa mpinzani! Tangu 2023 uwanja unakarabatiwa na bilioni 30 zilitolewa, Labda wahusika watueleze mpira unachezwa kwenye viti au pitch? Nitashangaa CAF mkiruhusu uwanja huu utumike, haitakuwa fair kwa vilabu pinzani, upinzani uonekane kwenye mbinu, mashabiki nk, kama ilivyo huko old trafford, santiago bernabeu nk. sio kwenye ubovu wa pitch!
View attachment 3338464
NAUNGA MKONO HOJA
 
Back
Top Bottom