last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,728
- 3,980
zinapatikana king'amuzi kipiMkuu ni uhakika itakuwa dmc hd au On sports HD zote unazipata Nile satView attachment 717496
Simba anapigwa ﺛﻼﺛﺔSimba anampiga mtu hamsa.
Nyie yanga safari yenu imeishia wapi mkuu???YA MPUNGA WA KULE KILOMBERO AU....??? NYIE SAFARI YENU IMEISHIA KULEKULE...SAVE HII POST
Simba anapigwa ﺛﻼﺛﺔ
Naomba ya yanga yawe hivi...yanga 20 wabotswana 0Naombea results iwe hivi
AL MASRY 10-0 DONA
Sawa,usisahau tunawapumulia kisogoni huku nyumbani[HASHTAG]#NdalaFC[/HASHTAG] Anabakwa #خمس na Wale Wajenga Barabara Wa [HASHTAG]#Botswana[/HASHTAG]
Simba Chama kubwa piga mtu hamsa...yebo yebo wafe na presha..Simba anapigwa ﺛﻼﺛﺔ
Chama la Wana!!