Al Masry vs Simba Sc kuonyeshwa na Tv hizi

Mkuu hapana watani zetu tuwaombea. Walikuw mamemiss sana kukwea pipa.


Huu ndiyo ujinga wa mashabiki wa Yanga na Simba pamoja na wachezaji wenyewe, yaani kwao matokeo si muhimu ila kukwea pipa ndiyo ishu.
 
Jamani kuweni Wazalendo Basi We Simba Ikifungwa Unapokea Kiasi Gani cha Pesa Ndani ya Mfuko Wako? Tuipende Nchi yetu na Vilivyomo

Naimani Apo utakuwa unaiombea Dua Ishinde.
Simba ikishinda we utapokea nini?
 
March 17, 2018
Port, Said, Egypt

Tazama mechi YouTube mubashara / Live

Live match Al-Masry vs Simba from Port Said, Egypt

Mechi mubashara kati ya Al-Masry vs Simba toka mjini wa Port Said, Misri

Source: ON sports
 
Simba ikishinda we utapokea nini?
Si Mimi Nitapokea Nini Sema Nchi Itapokea Nini!??
Kule Inapocheza Aichezi Simba Inacheza Simba ya Tanzania na Tanzania Wanaisha Watu Ukiwemo Wewe Unayoiombea Mabaya Simba.
 
Simba imepita! Mnyama Taifa kubwa.. Sana. Leo tunaleta vilainishi kaeni mkao wa kula.
 
Kwani ikishinda napokea kiasi gani. Piga mbwaaaaa hao
Kama BinAdamu Wenzio Ni Ilo Jina Ulolitamka Basi na Wewe Ni Kama Wao Sababu Nahisi Ahuna Nao Tofauti.

Kumbe unajua Ikishinda Au Kushindwa huna Unachokipata Sasa Ya Nini Kuiombea Mabaya!?
 
March 17, 2018
Port, Said, Egypt

Tazama mechi YouTube mubashara / Live

Live match Al-Masry vs Simba from Port Said, Egypt

Mechi mubashara kati ya Al-Masry vs Simba toka mjini wa Port Said, Misri

ON sports
[emoji16] [emoji16] mbona amna kitu aisee
 
records zote zinawabeba SSC TAIFA KUBWA!Haya ya nyumbani na ufisidi wetu hadi football game,tubaki nayo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…