K kamba0719 JF-Expert Member Joined Feb 7, 2018 Posts 804 Reaction score 1,906 Mar 17, 2018 #141 Ila hili neno TUMEKUFA KIUME LITATUMIKA SANA wiki hii.
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Mar 17, 2018 #142 kamba0719 said: waarabu wameanza kuchoka naona,speed inaanza kupungua. Click to expand... Waarabu ndio akina nani? Sema al masry.....l
kamba0719 said: waarabu wameanza kuchoka naona,speed inaanza kupungua. Click to expand... Waarabu ndio akina nani? Sema al masry.....l
B bagamoyo JF-Expert Member Joined Jan 14, 2010 Posts 24,941 Reaction score 28,869 Mar 17, 2018 #143 Mpira wa kimataifa umekwisha kwa wakongwe wote. Karibuni ligi ya nyumbani, ni salamu toka Chamazi shamba Azam FC.
Mpira wa kimataifa umekwisha kwa wakongwe wote. Karibuni ligi ya nyumbani, ni salamu toka Chamazi shamba Azam FC.