Al Masry wawasili salama Dar tayari kupambana na Simba SC

Al Masry wawasili salama Dar tayari kupambana na Simba SC

Al masry piga hao wavaa ndala.

Al masry 4-1 Kanda mbili.....alafu kuna mtu humu kamind sana
 
Hahahahahahahah !, nimecheka sana mpaka nimejamba hizo picha mbili za mwisho has a ya tshabalala
 
Al Masry hajawahi nichania mkeka msimu huu.

***** Simba wakichomoa hii game salute kwao na vikombe watakusanya vyote msimu huu.
 
Back
Top Bottom