Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afya ya huyu mwenzetu ni mgogoro.Klabu ya Al Masry ya nchini Misri imewasili salama bin salmini jijini Dar es salaam tayari kuwavaa simba sc.Klabu ya Al masry imewasili na nyota wao Islam Salah mdogo wake Mohammed Salah wa Liverpool fc pia nyota wengine kama Aristide Bance na Ahmed Coma wamewasili salama.Mchezo baina ya Al masry na simba sc utachezwa siku ya jumatano saa kumi na mbili jioni.
![]()
![]()
Wakati huo huo beki wa simba zimbwe jr AKA Tshabalala anatarajia kukabana na jitu lenye miraba minne ,jitu refu ,striker mwenye nguvu zake Bance [emoji23] [emoji23]
![]()
![]()
Habari yako Boss. Hawa jamaa wamekuwa on fire sana kwenye league yao naona wapo katika peak.Kichwa kichafu...!
Aristide Bance wa Al Masry uwezo wake uwanjani: kumiliki mpira, kasi, mashuti makali, vichwa angani, magoli n.k
Kwanini macho ya watu wengi yapo kwenye mechi ya simba na siyo yanga?
Poa mkuu tuangalie mpira usikimbie comment yakoYanga ishajulikana anashinda ila Simba, maji shingoni kwa waarabu
Salama lakini mwana JF mwenzetuYanga ishajulikana anashinda ila Simba, maji shingoni kwa waarabu