Kawaida sana...endelea hivyo hivyo.Kila la heri Al Masr
Jitu la ajabu sana...sijui kama hata kuusukuma mpira unaweza.
Si mzalendo kabisaKawaida sana...endelea hivyo hivyo.
Kichwa kichafu...!Al Masry hajawahi nichania mkeka msimu huu.
***** Simba wakichomoa hii game salute kwao na vikombe watakusanya vyote msimu huu.
Sense...mpira ni akili.usimdharau tshabalala mkuu! Kumbuka wembamba wa reli ila treni inabebwa ikiwa na watu na mizigo yao!
And This is Simba.
Hao ndio al masry bwana,,,, lazima wampige mvaa ndala/mla ugali
Ukitaja Ndala zinawahusu mtaa wa pili kule Bwawani.Al masry piga hao wavaa ndala.
Al masry 4-1 Kanda mbili.....alafu kuna mtu humu kamind sana