Al Merrekh 0-0 Simba | Al Hilal Stadium | CAF

Mchezaji kama DILUNGA nae akikaa benchi atalalamika kweli Mchezaji hata maamuzi ya kawaida tu hana.
 
Hawa jamaa hamna kitu wakija kwa mkapa hawa watakufa nyingi sana hawa sioni ukali wowote kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…