Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dilunga amedhoofisha timu, huyu mpumbavu hana akili ya football kabisa
hawana cha kupoteza. Hawana nafasi. Wamebaki na game moja ya home dhidi ya Al Ahl,kuna nini hapoWanajiangusha halafu wako kwao dakika yenyewe ndio hii ya 87 wanategemea nini?
Sasa si wangetuachia tu kuliko kukaza halafu huna direction ndio nini sasa?hawana cha kupoteza. Hawana nafasi. Wamebaki na game moja ya home dhidi ya Al Ahl,kuna nini hapo
Refa aongeze sekunde90' MSC 0 - 0 SCC
Nilijua niko peke yangu. Hawa wasudani waache usenge bhana...Dah mwenzenu nimebana mbupu hapa maaana s kwa presha hiii
haionyeshi ila dk 94Wameongeza ngapi
Usiogopeawa simba mbona kama wame ridhika wanaweza shangaa waka baki na point izo izo