Al Merrekh 0-0 Simba | Al Hilal Stadium | CAF

Matokeo muhimu sana kwetu haya sasa ngoja waje kwa mkapa na huu utopolo wao waone tutawafundisha adabu hawa pimbi hawa.
 
Point 1 muhimu sana

Kwa jinsi nilivyowaona hawa jamaa wana uwezo wa kutupiga kwa Mkapa
 
Sio mbaya kwa hii suluhu.

Jambo jema ni kwamba Makipa wetu wote hawajafungwa hata goli moja mechi tatu bila goli ni record murua kabisa
 
hatimae tumeongoza points, zilikuwa 6 sasa zimekuwa 7.
haya ni mafanikio makubwa kwa Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…