Al Merrekh 0-0 Simba | Al Hilal Stadium | CAF

Al Merrekh 0-0 Simba | Al Hilal Stadium | CAF

Akishinda zilizobakia 3 atakuwa na ponts 9 jumlisha 3 alizonazo anakuwa na 12....

Utamu utakuwa hawa majamaa watoe droo mechi zao zote 2 za wao kwa wao
Babu kumbuka atakuja kwa Mkapa huyo Vita na bado atawakaribisha Ahly sio rahisi kushinda mechi hizo mbili mana ahly naye Kesha shituka sasahivi hana utani tena
 
Utooo
JamiiForums-354225388.jpg
JamiiForums-915785170.jpg
 
Jumamosi 6, March 2021
Kutoka wanja la Kimataifa
Cairo Egypt

AS Vita Club kupindua meza leo Cairo dhidi ya Al Ahly na kuleta mutafaruku kwa mashabiki wa Msimbazi?

Hii ni baada ya matokeo ya sare bila magoli Simba 0 - 0 El Merreikh kutoka uwanja wa Al Hilal nchini Sudan katika michuano hii ya Ligi ya Mabingwa CAF 2020/2021

Lolote linaweza kutokea na kulifanya kundi hili kuwa gumu kujua nani ktk timu hizi za Simba, Al Ahly , AS V.Club nani atasonga mbele.

Matokeo ya kundi hili la "A" lenye timu za Al Ahly, AS Vita Club, Simba SC na El Merreikh ya Sudan tayari timu ya Sudan haina matumaini ya kusonga mbele.

Sasa katika saa 3 zifuatazo zimebaki mbio za "farasi watatu" mpaka itakapoisha mechi ya leo ya miamba ya soka Al Ahly dhidi ya AS Vita Club ndiyo tufafahamu hali na majaliwa ya timu hizi tatu za group A

GROUP A LIVE TABLE
PosTeamPWDL+/-PTS
1SimbaSIM3210+27
2Vita ClubVIT2101+23
3Al AhlyAHL2101+23
4Al MerreikhMER3012-61
GROUP B LIVE TABLE

Vita Club out to stun 'favourites' Al Ahly​

Vita Club out to stun 'favourites' Al Ahly

05 March 2021 | 17:59
Al Ahly © Backpage Pix

Al Ahly will take on AS Vita Club in the CAF Champions League Group A match at the Cairo International Stadium in Egypt on Saturday.
Kick-off is at 9pm CAT (SA, GMT+2).
The Egyptian champions suffered a surprise 1-0 defeat to Tanzanian giants Simba SC away in their previous group stage match on 23 February.

The defeat left Al Ahly placed third on the Group A standings - three points behind leaders Simba as the teams vie for the two spots available in the knockout phase.

Sami Komsan, the Al Ahly assistant coach, stressed the importance of their clash with Vita Club following their recent 2-1 win over El Geish in the Egyptian Premier League game.

“We are working on correcting the mistakes and improving the team’s performance," Komsan told the club's official website.

“The game against AS Vita Club is very important and we are determined to achieve the victory. We faced these circumstances before and we managed to overcome them.”

“I would like to thank Al Ahly fans for their constant support to the team."
Meanwhile, Vita Club secured their first win in the group stage when they hammered Sudanese champions 4-1 away on 23 February.

As a result, the DR Congolese giants are placed second on the Group A standings - three points behind leaders Simba with four games left.

Florent Ibenge, the Vita Club head coach, has fired a warning to Al Ahly as he believes that his side has what it takes to defeat the reigning African champions.
"I'm not afraid of Al Ahly, [they] are favourites but we will give the best of ourselves," Ibenge said on Sport New Africa.

"Favourites? Yes, but the Black Dolphins haven't said their last word yet. In our two back to matches, we will have our say,
"We don't want to let ourselves be dictated by Al Ahly. We will play to score."
Al Ahly and Vita Club have met twice in the Champions League since 2019 and both teams recorded a win each.

Source : Vita Club out to stun 'favourites' Al Ahly
 
06 March 2021

Kocha AS VITA CLUB MECHI KUWA NGUMU LEO


Source : Al Ahly TV
 
06 March 2021
Cairo, Egypt

Kocha AL AHLY MECHI LEO INA UMUHIMU MKUBWA
Kocha wa Al Ahly raia wa South Africa akiongea katika press conference kuelekea mechi yao na AS V.Club ya DR Congo anasema leo lazima wafanye kila kitu ili kujihakikishia kuweza kusonga mbele ktk mashindano haya ya Ligi ya Mabingwa CAF . Wachezaji wetu 7 wamepatikana na korona, hivyo na leo pia tutawakosa lakini kama tulivyoshinda dhidi ya El Merreikh bila wachezaji hao leo pia dhidi ya AS Vita Club hatuwezi kuwa na visingizio lazima tushinde huku bado tukiwakosa wachezaji waliopatikana na korona. Hivyo tuna kikosi kipana na hivyo hakuna sababu ya kufikiria vingine zaidi ya ushindi.

Source : Al Ahly TV
 
Back
Top Bottom