Al- Nahdhwa English Medium | Pre&Primary school: nembo yenu ya LGBTQ inadhalilisha shule hii

Al- Nahdhwa English Medium | Pre&Primary school: nembo yenu ya LGBTQ inadhalilisha shule hii

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
IMG_20230424_124440.jpg

Waislamu siwapangii lakini kutokana na maana mbaya ya rangi hizi ni bora tu mbadilishe hii nembo, mnatafsiriwa vibaya sana. Kibaya zaidi ni shule ya kidini bora ingekuwa ya kidunia.

Soma pia 👉👉Mamlaka za Saudi Arabia zapiga marufuki bidhaa zote zenye upinde wa mvua ikiwemo nguo na Midoli
 
apo mwanzo tulizoea iyo ni moja ya michoro kwenye mazingira ya watoto mfano mashuleni, alaf ata ikiwepo wao wenyew hawaelewi tafsiri yake. mimi sion shida ya iyo rainbow kabisa.

ata kwenye ile cartoon ya AKILI ipo sana
.....tuounguze mihemko.

Upinde wa mvua ukitokea angani tufanyaje
 
Utodauti wa Upinde wa Mvua na Upinde wa LGBTQA
Flag+symbolism+graphic.png
feature_rainbow_seven_colors.png
 
Mkuu,

Dunia sio chafu, ila ni chafu endapo utafocus kuutazama Uchafu.
Kinachokutesa wewe ni kujua hizo rangi zinahusika kwenye Ushoga na kisha ukahisi kila mtu anajua hilo jambo.

Mashuleni wanazitumia sana hizo rangi, kwasababu ni rangi zinapendeza machoni mwa Watoto na kuwavutia.

Yajue ya kuzingatia, ili akili yako iache kufocus kwenye Usenge.

Respect youself.
 
Symbo6and
Mkuu,

Dunia sio chafu, ila ni chafu endapo utafocus kuutazama Uchafu.
Kinachokutesa wewe ni kujua hizo alama zinahusika kwenye Ushoga na kisha ukahisi kila mtu anajua hilo jambo.

Tokea tunazaliwa hizo rangi zilikuwepo, na mashuleni zilifundishwa. Na hata ilikuwa ukinunua rangi ya kuchorea, basi zilikuwa zimepangwa kwa mtindo huohuo wa Upinde wa mvua. Na sababu kubwa ilikuwa ni zinapendeza machoni mwa Watoto na kuwavutia.

Yajue ya kuzingatia, ili akili yako iache kufocus kwenye Usenge.

Respect yousel
Alama na ishara huwa wanafichia kitu
 
Na ukiuona upinde wa Mvua kwenye mawingu upande ukaufute haraka
Unajaribu kufanya jamii ione kuwa ni jambo la kawaida e??? Endelea na harakati zako za kuwaunga mkono mashoga na wasagaji
 
Unajaribu kufanya jamii ione kuwa ni jambo la kawaida e??? Endelea na harakati zako za kuwaunga mkono mashoga na wasagaji
Asili ya hizo rangi zilionekana huko juu mawinguni kwa hiyo ukiziona ukazifuteee, mbona kama unalia?

[emoji304][emoji7][emoji2524]‍[emoji304]
 
apo mwanzo tulizoea iyo ni moja ya michoro kwenye mazingira ya watoto mfano mashuleni, alaf ata ikiwepo wao wenyew hawaelewi tafsiri yake. mimi sion shida ya iyo rainbow kabisa.

ata kwenye ile cartoon ya AKILI ipo sana
.....tuounguze mihemko.

Upinde wa mvua ukitokea angani tufanyaje
Mm sijasemea upinde wa Mvua, maana ya mpangilio huo wa rangi si mzuri kwa sasa
 
Back
Top Bottom