Al- Nahdhwa English Medium | Pre&Primary school: nembo yenu ya LGBTQ inadhalilisha shule hii

apo mwanzo tulizoea iyo ni moja ya michoro kwenye mazingira ya watoto mfano mashuleni, alaf ata ikiwepo wao wenyew hawaelewi tafsiri yake. mimi sion shida ya iyo rainbow kabisa.

ata kwenye ile cartoon ya AKILI ipo sana
.....tuounguze mihemko.

Upinde wa mvua ukitokea angani tufanyaje
 
apo mwanzo tulizoea iyo ni moja ya michoro kwenye mazingira ya watoto mfano mashuleni, alaf ata ikiwepo wao wenyew hawaelewi tafsiri yake. mimi sion shida ya iyo rainbow kabisa.

ata kwenye ile cartoon ya AKILI ipo sana
Utodauti wa Upinde wa Mvua na Upinde wa LGBTQA
 
Mkuu,

Dunia sio chafu, ila ni chafu endapo utafocus kuutazama Uchafu.
Kinachokutesa wewe ni kujua hizo rangi zinahusika kwenye Ushoga na kisha ukahisi kila mtu anajua hilo jambo.

Mashuleni wanazitumia sana hizo rangi, kwasababu ni rangi zinapendeza machoni mwa Watoto na kuwavutia.

Yajue ya kuzingatia, ili akili yako iache kufocus kwenye Usenge.

Respect youself.
 
Symbo6and
 
Na ukiuona upinde wa Mvua kwenye mawingu upande ukaufute haraka
Unajaribu kufanya jamii ione kuwa ni jambo la kawaida e??? Endelea na harakati zako za kuwaunga mkono mashoga na wasagaji
 
Unajaribu kufanya jamii ione kuwa ni jambo la kawaida e??? Endelea na harakati zako za kuwaunga mkono mashoga na wasagaji
Asili ya hizo rangi zilionekana huko juu mawinguni kwa hiyo ukiziona ukazifuteee, mbona kama unalia?

[emoji304][emoji7][emoji2524]‍[emoji304]
 
Mm sijasemea upinde wa Mvua, maana ya mpangilio huo wa rangi si mzuri kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…