Al-Shaabab wakiri kufanya shambulio na kudai wameua wanajeshi 57 wa Kenya

Al-Shaabab wakiri kufanya shambulio na kudai wameua wanajeshi 57 wa Kenya

Attack on the KDF is not because they don't know how to fight, but since they joined Amison, the comand chain changed and sometimes it has been difficult to lay out operations as they know it better! Before Kenya joined Amison, no Kenyan soldier had died, they removed Alshabaab from Kismayu over night without a single injury!!!

They swept the whole of Jubaland in a month without any injury, so basically, it is the command problems rather than failure in their fighting!!!

Lakini Watanzania hii furaha yao juu ya mambo ya Ugaidi sielewi, video hii inadokeza Vijana wakitanzania wakiwemo kwenye hili kundi la kigaidi!! Jamani Watanzania hapa sikudhani mneandika vitu ambavyo naona unless iwe mnasurpport mambo kama haya!!
 
  • Thanks
Reactions: cdc
wapo busy kujenga ukuta wa waya!!
hahaha Akili zingine bwana!!
RPG moja inafumua waya na kuacha njia
wanaume wanajipitia kiurahisi!!

Madaktari wamegoma wananchi wanajifia
wenyewe wanajipitishia mpango wa DILI!!


Alshabaab wapo Kenya
huo uzio nikupoteza muda tu
Nini RPG?Mkasi tu unatosha kukata uzio wa waya!
 
Hao wanamgambo wa KDF wanauza mkaa na kufanya magendo ya sukari na mirungi huko Somalia,ndio maana wanapigwa kama watoto
 
hawa wakenya wa ajabu sana kama ni style ile ile watu wanalipua lango wanaingia ndani wao wanakua wapi? ina maana hajajifunza hii ni mara ya 3 sasa dizain ile ile? hawakuchukua hatua ktk izo kambi zingine kujua wanaweza vamiwa kwa style hii? alafu inaonekana intelligence ni ndogo sana watu hadi wanajikusanya wamelala tu fo fo fo kama mapono acha yakungutwe tu wanajeshi gani hawa very incompetence 3 times mnavamiwa na watu wana ak 47 na wana over run base!
 
It's shame for KDF to denies that Kenyan soldiers didn't killed in today's attack. Kenyan citizens deserves the truth,
 
Citizen inasema 9 kdf killed na over 70 al shabab dead na muache propaganda. Kdf sisi tabloid ya kuandika kila kitu inafanyika Somalia
 
Citizen inasema 9 kdf killed na over 70 al shabab dead na muache propaganda. Kdf sisi tabloid ya kuandika kila kitu inafanyika Somalia

Wacha The camp was completely destroyed and taken over by alshabaab..why lie??this so called KDF spokeswoman that only issues written statements to the media?why not hold a press conference and tell our SO CALLED COMMANDER IN CHIEF to tell the truth?This is not how you treat your fallen soldiers..like their lives don't matter..
 
Poleni zao,inakuaje lakini wanajisahau na kuwa overun?,
walipaswa kujua annivesarry ya shambulio la mwaka jana lazima tena wangeshambulia
 
Ni karibu kila mwaka inatokea..... ni kama ile ya mpeketoni.
Inabidi EAC iulize gok kama haitalinda raia wake basi iwe suspended.
Maana these carnages are too much.
 
Kdf ondokeni Somalia vinginevyo mtakwisha, AL shabab hawana wanachopoteza kwa sababu wao wanatafuta kifo na Kdf wanakimbia kifo
 
Dah!! Poleni sana jirani zetu kwa kuwapoteza ndugu, jamaa na marafiki hao waliokufa ni mashujaa wamefia vitani.

Hivi kweli hivyo vikosi vilivyoko huko somalia vinabadilishana taarifa kweli au kila kikosi kinalinda kwake?? mimi nitakuwa wa mwisho kuamini kama kuna ushilikiano wa kutosha kati ya usalama wa taifa wa nchi husika, raia, jeshi la nchi husika na AMISOM. Hilo shambulio halijaandaliwa jana wala juzi na mwaka jana lilitokea la hivyo hivyo, nadhani kuna shida sehemu fulani.
 
Huwa najilizaga maswalihaya. Hao al shabab wananguvu kiasigani?,
Kwanini hawafuatwi hukokwenye chimbolao?,

Nani anawahudumia chakula, silaha, na mafunzio, yani wamejificha wapi hasa pasipo julikana.

Lazima kuna kituhapa ambacho hatukijui.
sometimes wanafuatwa na kuchapwa viboko lakini wana vichwa vigumu
garissa_kenyan-police-whipping-somali-youth.jpg
 
hawa wakenya wa ajabu sana kama ni style ile ile watu wanalipua lango wanaingia ndani wao wanakua wapi? ina maana hajajifunza hii ni mara ya 3 sasa dizain ile ile? hawakuchukua hatua ktk izo kambi zingine kujua wanaweza vamiwa kwa style hii? alafu inaonekana intelligence ni ndogo sana watu hadi wanajikusanya wamelala tu fo fo fo kama mapono acha yakungutwe tu wanajeshi gani hawa very incompetence 3 times mnavamiwa na watu wana ak 47 na wana over run base!
aise kupambana na mijitu kama hii ambayo haigopi kufa ni ngumu. Ni taifa pekee la Mungu wa Kweli tu ISRAEL Ndio wanajua kuyadhibiti
 
Atukuzwe Allah.
Lama kawaida yenu nyinyi wa TZ muna udini sana. Afadhali na Kenya lakini nyinyi WaTZ munapoelekea na hasa wakristo sijui ni kwa nini wanachukia Uislam tuwaulize wanewakosea kitu gani. Ni mada ya magaidi kuvamia kambi. Wa TZ mnaweza udini hivi hii Jamaa imefurahi na anadhihaki Mungu
 
Back
Top Bottom