Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Wewe utakuwa sio muislamu,muislamu wa kweli hawezi kufurahia mauaji ya aina yoyote.Atukuzwe Allah.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe utakuwa sio muislamu,muislamu wa kweli hawezi kufurahia mauaji ya aina yoyote.Atukuzwe Allah.
I think they lost soldiers, and its really dissapointing that KDF media and infomation unit is acting like we are in the 70s were everything is secret............... But I think Alshabaab is exergirating,, but since KDF kept quiet last time and alshabaab were busy disseminating info,today people are going to believe whoever gave a correct and timely account before...... yani even the british PM knows more than us... and we are the ones with families,relatives and friends over there.... realy disapointing..........I biliv the Alshbb account of the events. The Kenya govt, it appears to me, are trying to sweep this incident under the carpet like the other time. They are clearly embarassed by the heavy casualties they've incurred, the reason they hide the truth.
I biliv the Alshbb account of the events. The Kenya govt, it appears to me, are trying to sweep this incident under the carpet like the other time. They are clearly embarassed by the heavy casualties they've incurred, the reason they hide the truth.
If you would rather believe the Al Shabab its your choiceWacha The camp was completely destroyed and taken over by alshabaab..why lie??this so called KDF spokeswoman that only issues written statements to the media?why not hold a press conference and tell our SO CALLED COMMANDER IN CHIEF to tell the truth?This is not how you treat your fallen soldiers..like their lives don't matter..
Kuna jamaa yangu mmoja amenidokeza kuwa imegundulika jeshi la kenya wanapeleka zaidi vijana waislamu waliojiunga na jeshi ili kupambana na Alshabaaab. Wakifika kambini wanastuka asilimia karibu 80 ni waislamu watupu, hii janja ndio inayo wagarimu wakenya.hawa wakenya wa ajabu sana kama ni style ile ile watu wanalipua lango wanaingia ndani wao wanakua wapi? ina maana hajajifunza hii ni mara ya 3 sasa dizain ile ile? hawakuchukua hatua ktk izo kambi zingine kujua wanaweza vamiwa kwa style hii? alafu inaonekana intelligence ni ndogo sana watu hadi wanajikusanya wamelala tu fo fo fo kama mapono acha yakungutwe tu wanajeshi gani hawa very incompetence 3 times mnavamiwa na watu wana ak 47 na wana over run base!
No don't get me wrong..I detest those skinnies with every fibre of my being...I sometimes get crazy mad at Prez and his coterie of advisors. I miss the days before KDF rehatted into leaderless Amisom..the days of the Eloquent Silas Oguna and Major Chirchir,where we used to get daily updates on twitter and weekly press briefings.I think Kenya should pull out of Amisom and operate independently like they did with OPERATION LINDA NCHI. I don't care if we foot the bill.A stable Jubaland is a plus for Kenya.If you would rather believe the Al Shabab its your choice
Intelejensia haiwagundui hao wanaofujisha siri?Kuna jamaa yangu mmoja amenidokeza kuwa imegundulika jeshi la kenya wanapeleka zaidi vijana waislamu waliojiunga na jeshi ili kupambana na Alshabaaab. Wakifika kambini wanastuka asilimia karibu 80 ni waislamu watupu, hii janja ndio inayo wagarimu wakenya.
Jamaa anasema kuna uwezekano kuwa vijana hawa wanajua nini kinaendelea hivyo kutoa baadhi za info na washkaji wa alshabaab wanapotaka kuja huwaambia kaeni pembeni atakae tia pua atawaka.
Huo ni mtazamo wake, isichukuliwe ni jambo la kweli ingawaje linafikirika
Makomando wa Marekani wamepakimbia hapo ndo wakaamua kuwaachia wakenya baada ya kuona askari wanauawa hovyo na Alshaabab. Alshaabab ilikuwa ni serikali ila Marekani hawakuitaka wakaipundua na hapo Sokalia. Alshaabab sio kundi lililokuja ghafla tu, hao ndo walikuwa kama chama tawala.Huwa najilizaga maswalihaya. Hao al shabab wananguvu kiasigani?,
Kwanini hawafuatwi hukokwenye chimbolao?,
Nani anawahudumia chakula, silaha, na mafunzio, yani wamejificha wapi hasa pasipo julikana.
Lazima kuna kituhapa ambacho hatukijui.
Markani ndo imesababisha yote hayo. Kwanini aliivamia Somalia?Mkiambiwa Dini ya Kigaidi hamtaki
Nikazi sana kugundua hizi vitu kaka, na ukichukulia kuna muingiliano mkubwa sana kwa hawa ndugu zetu wa kenya na wasomali, undugu wadamu kabisaa. Utakuta mwanajeshi wa kenya ila wajomba zake wapo Mogadishu, ni wasomali.Intelejensia haiwagundui hao wanaofujisha siri?
dah hawa jamaa ni hatari aiseeHii inanikumbusha Shambulio hili du!!
VIDEO: Al-Shabaab Release Film of Mass Raid Attack on Kenyan Forces
Allah yupi?Atukuzwe Allah.
Mzee milipuko wanayoweka kwenye hayo magar impact yake inaweza sambaa umbali mkubwa sana... Then after wanaanza kushambulia kwa risasi... Ni hatari..hawa wakenya wa ajabu sana kama ni style ile ile watu wanalipua lango wanaingia ndani wao wanakua wapi? ina maana hajajifunza hii ni mara ya 3 sasa dizain ile ile? hawakuchukua hatua ktk izo kambi zingine kujua wanaweza vamiwa kwa style hii? alafu inaonekana intelligence ni ndogo sana watu hadi wanajikusanya wamelala tu fo fo fo kama mapono acha yakungutwe tu wanajeshi gani hawa very incompetence 3 times mnavamiwa na watu wana ak 47 na wana over run base!
Moja ya haya mataifa makubwa lazima watakuwa nyuma ya hao Alshabab ,ila kwa malengo gani ndio najaribu kutafuta majibuHuwa najilizaga maswalihaya. Hao al shabab wananguvu kiasigani?,
Kwanini hawafuatwi hukokwenye chimbolao?,
Nani anawahudumia chakula, silaha, na mafunzio, yani wamejificha wapi hasa pasipo julikana.
Lazima kuna kituhapa ambacho hatukijui.
Dah motochini nimeangalia hii video hadi machoz yamenidondoka. Jamaa kaongea kwa hisia huruma na hizuni sana. Sitamsahau katika maombi yangu. Bwana amlinde
hawa wakenya wa ajabu sana kama ni style ile ile watu wanalipua lango wanaingia ndani wao wanakua wapi? ina maana hajajifunza hii ni mara ya 3 sasa dizain ile ile? hawakuchukua hatua ktk izo kambi zingine kujua wanaweza vamiwa kwa style hii? alafu inaonekana intelligence ni ndogo sana watu hadi wanajikusanya wamelala tu fo fo fo kama mapono acha yakungutwe tu wanajeshi gani hawa very incompetence 3 times mnavamiwa na watu wana ak 47 na wana over run base!
Kuna watu wapo nyumadah hawa jamaa ni hatari aisee