Al-Shaabab wakiri kufanya shambulio na kudai wameua wanajeshi 57 wa Kenya

Someone update this thread na true facts ...picha zimesurface 2 kdf soldiers killed and 70 alshabaab ...Tazanians can stop having orgarsms now
Jirani shusha jazba Jirani... Kwenye upande wa matusi utashinda ww manaake majirani zetu kwa midomo tunawajua... Tumeumizwa sana na vifo zaidi ya 57 upande wa KDF. Sijajua mnapigwaje kila siku nyie tu, el adde walikufa 100 then huku 57 daah!! Polen sana labda zikifika zile tractors za trump mtashinda japokuwa hata manati yanazishusha tu.
 
Someone update this thread na true facts ...picha zimesurface 2 kdf soldiers killed and 70 alshabaab ...Tazanians can stop having orgarsms now
Jirani shusha jazba Jirani... Kwenye upande wa matusi utashinda ww manaake majirani zetu kwa midomo tunawajua... Tumeumizwa sana na vifo zaidi ya 57 upande wa KDF. Sijajua mnapigwaje kila siku nyie tu, el adde walikufa 100 then huku 57 daah!! Polen sana labda zikifika zile tractors za trump mtashinda
 
Atukuzwe Allah.
Ipo hadithi mtume aliulizwa nn dalili za mwisho wa dunia moja wapo alitaja haya makundi yanayoonekana Leo akasema watakuja watu watakao tamka jina la Allah, kutangaza sheria za Allah, kuua kwa jina la Allah ila ndani mwao hakutakuwa na lolote linalomuhusu Allah!! Kama nimekosea kuandika usahihi wa hyo hadithi tafadhali nikosoeni ni mda mrefu toka niliposoma hyo hadithi
 
Hapana kaka.... waislam wanahusishwa na ugaidi kwa sababu hakuna siku ambayo wamekemea au wameeleza waziwazi kuwa vikundi vya magaidi havina uhusiano na uislam. Badala vyake viongozi wa uislam wamekaa kimyaa. Na ndiyo maana watu wanachukulia ugaidi ni sehemu ya ibada yao.
 
Ahaaa haaa teh teh....eti falling apart of failing state Kenya is a doom to eac.
 
UZEMBE... Wanajisaau kama hawaijui situation vile
Kenya waangalie upya ma officer wao wanawapata vipi asee. Wameonyesha kushindwa
Sabab sio mara ya kwanza
 

Was not his ideas, he plagiarized from Bible and Torah after visiting ETHIOPIA and found orthodox Christianity flourishing many years before there was anything called Islam or Mohammedism.
He later returned to his pagan relatives in Arabia and added some violent ideas here and there while fusing it with Arabic traditional culture most of which was Pagan.
Read Historical books or ask a Jew.
 
I wonder how could he achieve what you claim if he was illiterate (couldn't read or write), means he didn't speak of himself but he only spoke what he heard/was told.
"Howbeit when he, the Spirit of truth, is come, he will guide you into all truth: for he shall not speak of himself; but whatsoever he shall hear, that shall he speak: and he will shew you things to come." John 16:13
 
Am trying to learn but am a man who learns with evidences, I've gone through what you've written over and over but i can't see the evidences to support your claims, so rather you are speaking of your own self or internal fear or hate, base your points on facts please and just mere words as you mind grasps.
 
Sio kweli Nitakuwekea ushahidi hapa clip kama 50 tofauti tofauti masheikh wakubwa tu wakikimea ugaidi!! Uislam hauhusiswi na ugaidi kwa sababu waislam hawakemei na waislam wa kweli wanakemea sana ugaidi na wahanga wakubwa wa ugaidi ni waislam!!
 
Islam tries to get legitimacy by claiming from bible prophets. For instance they claim moses as a prophet but deny passover. They claim Abraham but deny his attempted sacrifice of his soon Isaac.
Problem is adherents are not allowed to think through their belief. They simply believe.
 
Could you confirm your claims with verses from their scripture? It's wise to give reference from their scripture and other scriptures if necessary so that people of understanding and wisdom will understand your point well, perhaps they might benefit from it as well.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…