Kama sio KDF ni nani hao mkuu?This is silliness, hao hapo sio KDF plus jaribu kuwa mkweli wakati mwingine!
Ni kitengo cha polisi kijulikanacho kama GSU (general service unit)Kama sio KDF ni nani hao mkuu?
Dada usiwe mwepesi wa kujibu na kukurupuka bila kuwa na uhakika wowote. Hao ni kitengo cha polisi cha administration police ama GSU, wanvaa sare za kijeshijeshi.Kama sio KDF ni nani hao mkuu?
Hee! Mimi niliuliza kwa nia njema tu. Samahani kama nilikukwaza kwa namna yoyote mkuu.Dada usiwe mwepesi wa kujibu na kukurupuka bila kuwa na uhakika wowote. Hao ni kitengo cha polisi cha administration police ama GSU, wanvaa sare za kijeshijeshi.
Pili usione tukio kama hiki ukadhani taswira full ya nchi, sisi wote mahali tulipo hatujui kisa kamili, na usiwatukane wala kudunisha uwezo wa polisi wetu. Aina ya tukio kama hizi, haswa wanapowakabidhi majangili sugu, ni kawaida popote duniani.
Tatu, subiri ripoti rasmi itolewe.
Asante ndugu kwa kunifahamisha. Nilikuwa sijui hilo.Ni kitengo cha polisi kijulikanacho kama GSU (general service unit)
safiHee! Mimi niliuliza kwa nia njema tu. Samahani kama nilikukwaza kwa namna yoyote mkuu.
Poleni sana.
Kwani huwajui KDF...KDF ni wale wenye kutambaa ndani ya mitaro, na baadae hutoka na mifuko supamaketi....!!Kama sio KDF ni nani hao mkuu?
Hawa ni FFU wa Kenya au GSU enzo hizo nikisoma Tarang'anya High School tulikuwa tunawaita Gusa Serukaili Uone !!!Kama sio KDF ni nani hao mkuu?
Hahaha umenifanya nicheke. Acha hizo mambo mkuu ujue tuko msibani!Kwani huwajui KDF...KDF ni wale wenye kutambaa ndani ya mitaro, na baadae hutoka na mifuko supamaketi....!!
Anytime.Asante ndugu kwa kunifahamisha. Nilikuwa sijui hilo.
Pole!! Samahani ila ujue Dunia hii kila mda ipo msibani.....Hahaha umenifanya nicheke. Acha hizo mambo mkuu ujue tuko msibani!
Alshaabab si wasomali pekee. Kuna wa asilia ya kikenya, kitanzania na kadhalika.Wakenya inabidi muungane bila kujali dini, kabila au rangi muishinikize serikali yenu ikae chini na hawa Wasomali mmalize matatizo.
Hakuna vita isiyoishia kwa muafaka hususan hii ya kujitakia.
Wakenya takriban asilimia 20 wana asili ya kisomali hivi bila kukaa nao chini mnafikiri mtawamaliza?
Wakubwa zenu huko Kenya wanafaidika kwa hii vita kuendelea, nyinyi raia wa kawaida ndiyo mnaotaabika na kuadhibika kila kukicha.
Hakuna raha ya kuishi kama kuwa na amani na utulivu na hilo kwa sasa Kenya ni ndoto kwani kila ukikutana na msomali roho inakudunda kwa kukosa amani, labda huyu.
Kubalini yaishe.
Kwa kweli. Haya turudi msibani.Pole!! Samahani ila ujue Dunia hii kila mda ipo msibani.....
Mbona hakujibu vibaya au sikumuelewa?Dada usiwe mwepesi wa kujibu na kukurupuka bila kuwa na uhakika wowote. Hao ni kitengo cha polisi cha administration police ama GSU, wanvaa sare za kijeshijeshi.
Pili usione tukio kama hiki ukadhani taswira full ya nchi, sisi wote mahali tulipo hatujui kisa kamili, na usiwatukane wala kudunisha uwezo wa polisi wetu. Aina ya tukio kama hizi, haswa wanapowakabidhi majangili sugu, ni kawaida popote duniani.
Tatu, subiri ripoti rasmi itolewe.