Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
another media house is also reporting the samembona hawa watu wanaanza kutuchanganya sasa Gunman in Kapenguria attack was a police officer at the station
Duh! Sorry sikuiona hii..Habari, hautaki mume..!! nauliza tu, usichukie..!!
Ukiongeza upeo utaelewa hamna shakaPoleni wakenya lakini mnajitakia wenyewe, na inaonyesha mnapenda kufa
Okay Kwanini hamtoi majeshi yenu? Tatizo ni nini hasaa?
Polisi wa Kenya ni walaini sana.. Wanaweza tu kupiga watu wakiandamana.. Wakikutana na vidume wenzao kimyaa
shat apu! weye!.........walakin uylisemalo ,ukweli mtupu!
Wait... huu sasa ni uzembe..!! Kijana mmoja aliyekamatwa kama mshukiwa wa kigaidi, akamnyanganya silaha ASKARI, kisha akaua ASKARI POLICE 6.. and others injured..!! and still he captured hostages alafu NDANI YA KITUO CHA POLICE...!! omg..omg..!! ndani ya kituo cha polisi.., siamini..!!
Eeeh eeeh..!! Huu ni uzembe mkubwa sana sana wa askari police..!!
Al-Shabab ni viumbe hatari sana, sio wanadamu wale.. ni hatari sana wadudu wale..
Kenya, ebu muwe very very aggressive...!! Chukueni mbinu JWTZ, walifuta M23 within 2 weeks, walifuta, na wapigwa kinyama haijawahi tokea... waliosalia walikimbia na kupotea kabisa..!!
KDF must be very very bitter... ni full war.. ila wakiwa wana patrol tu mipakani hao Al-shabab watawamaliza..!!
So even after the facts are out you quote rumors and make deductions from that? what level of understanding is that or does your comment have to be self-serving?Huo ni uzembe too much aisee..Ushauri mzuri usiohitaji gharama yeyote.. waishauri serikali yao watoe haraka majeshi yao otherwise wataendelea kupigwa,