beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Nimeelewa situation ako nayo. Hali si shwari huko. Tuvumiliane tu..Mbona hakujibu vibaya au sikumuelewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeelewa situation ako nayo. Hali si shwari huko. Tuvumiliane tu..Mbona hakujibu vibaya au sikumuelewa?
Duu yaani waitishe kikao na Al shabab ili wajadili tofauti zao?Wakenya inabidi muungane bila kujali dini, kabila au rangi muishinikize serikali yenu ikae chini na hawa Wasomali mmalize matatizo.
Hakuna vita isiyoishia kwa muafaka hususan hii ya kujitakia.
Wakenya takriban asilimia 20 wana asili ya kisomali hivi bila kukaa nao chini mnafikiri mtawamaliza?
Wakubwa zenu huko Kenya wanafaidika kwa hii vita kuendelea, nyinyi raia wa kawaida ndiyo mnaotaabika na kuadhibika kila kukicha.
Hakuna raha ya kuishi kama kuwa na amani na utulivu na hilo kwa sasa Kenya ni ndoto kwani kila ukikutana na msomali roho inakudunda kwa kukosa amani, labda huyu.
Kubalini yaishe.
Mkuu !! tatizo siyo silaha ...mbona bidhaa hizo zimefurika sokoni na kila siku viwanda vinaProduce hi-tech weapons na kuwauzia makundi/magenge/waasi/wapinzani nk...Kwa kweli. Haya turudi msibani.
Huyo jamaa akipatikana sijui watamfanya nini aisee. Maana Al-shabaab ni security threat namba moja Kenya. Wamnyang'anye tu silaha yake haraka haraka!
Alshaabab si wasomali pekee. Kuna wa asilia ya kikenya, kitanzania na kadhalika.
Wakenya inabidi muungane bila kujali dini, kabila au rangi muishinikize serikali yenu ikae chini na hawa Wasomali mmalize matatizo.
Hakuna vita isiyoishia kwa muafaka hususan hii ya kujitakia.
Wakenya takriban asilimia 20 wana asili ya kisomali hivi bila kukaa nao chini mnafikiri mtawamaliza?
Wakubwa zenu huko Kenya wanafaidika kwa hii vita kuendelea, nyinyi raia wa kawaida ndiyo mnaotaabika na kuadhibika kila kukicha.
Hakuna raha ya kuishi kama kuwa na amani na utulivu na hilo kwa sasa Kenya ni ndoto kwani kila ukikutana na msomali roho inakudunda kwa kukosa amani, labda huyu.
Kubalini yaishe.
Dada usiwe mwepesi wa kujibu na kukurupuka bila kuwa na uhakika wowote. Hao ni kitengo cha polisi cha administration police ama GSU, wanvaa sare za kijeshijeshi.
Pili usione tukio kama hiki ukadhani taswira full ya nchi, sisi wote mahali tulipo hatujui kisa kamili, na usiwatukane wala kudunisha uwezo wa polisi wetu. Aina ya tukio kama hizi, haswa wanapowakabidhi majangili sugu, ni kawaida popote duniani.
Tatu, subiri ripoti rasmi itolewe.
mwelezee dada wenu fikira za kidakudaku kama hiyo, katu halito wezekana.Kauli kama hii ndiyo ilimfanya Kagame akataka kumtwanga Kikwete
Kwa taarifa yako.. silaha haileti amani zaidi ya maafa na visasi vya muda mrefu na kupatikana wakimbizi tuKauli kama hii ndiyo ilimfanya Kagame akataka kumtwanga Kikwete
Kumbuka tanga pia kuna ISIS hata wametoa kanda nyingi za video kuwatambulisha hilo. sasa nyinyi mkilalia maskio mtajipata hamna tofauti na iraq na sirya.Kumbuka kuwa Al Shabab ni kikundi cha Wasomali na kama kuna Wakenya, Watanzania, Wazungu wanaokwenda kuwasaidia jiulize kwanini? Labda ukijuwa kwanini, utaanza kuishinikiza serikali yako ikaenao chini wayamalize. Hii vita na Al Shabab haina mwisho mwema kwa Kenya kama haijamalizwa kwa amani na masikilizano.
Wasomali waliotapakaa dunia nzima kwa ukimbizi wameshakuwa ni adui zenu directly au indirectly.
Kumbuka tanga pia kuna ISIS hata wametoa kanda nyingi za video kuwatambulisha hilo. sasa nyinyi mkilalia maskio mtajipata hamna tofauti na iraq na sirya.
All they want is to live under sharia law and kill anyone that oposses islam and anything that contradicts there "teachings".
Polisi wa Kenya ni walaini sana.. Wanaweza tu kupiga watu wakiandamana.. Wakikutana na vidume wenzao kimyaa
Akhsante bibi kizee umemaliza kila kitu kwa hikma ya hali ya juu,Wakenya inabidi muungane bila kujali dini, kabila au rangi muishinikize serikali yenu ikae chini na hawa Wasomali mmalize matatizo.
Hakuna vita isiyoishia kwa muafaka hususan hii ya kujitakia.
Wakenya takriban asilimia 20 wana asili ya kisomali hivi bila kukaa nao chini mnafikiri mtawamaliza?
Wakubwa zenu huko Kenya wanafaidika kwa hii vita kuendelea, nyinyi raia wa kawaida ndiyo mnaotaabika na kuadhibika kila kukicha.
Hakuna raha ya kuishi kama kuwa na amani na utulivu na hilo kwa sasa Kenya ni ndoto kwani kila ukikutana na msomali roho inakudunda kwa kukosa amani, labda huyu.
Kubalini yaishe.
Dont be so petty. Before 2011 we did not have our troops in somalia and they still invaded our territory threatening our lives, economy and everything that we stood for and what we are still trying so hard to achieve. I believe u guys do not border somalia if u did you would probably know whats at stake here.Tatizo la kenya haliwezi kuisha ilhali KDF wako somalia na nguvu ya silaha haimalizi tatizo..!
Kwasababu kenya bado wanaomba msaada wa kupambana na al-shabab kwa mataifa ya nje.. na al-shabab nao wanasema hawarudi nyuma.
Sasa kama watu wanataka usalama na nguvu ya kijeshi toka 2011 hakuna chochote zaidi watu wasiokuwa na hatia kuuliwa, kwanini basi wasitafute njia nyingine isiyo kuwa hili ya vita?
Maana kila wakati tunasikia al-shabab 200 wameuliwa au 100 wameuliwa mbona hawaishi basi kuna nini hapo..!?
Sio polisi wa kenya tu haaa hapa TZ wakisingia chadema .. Watakuja wengiiii.. Ila wakisikia majambazi.. Hawaji hadi kesho..shat apu! weye!.........walakin uylisemalo ,ukweli mtupu!
Kauli kama hii ndiyo ilimfanya Kagame akataka kumtwanga Kikwete
Gsu ni wa laini sio? Ebu do some research on your own alafu uone. Ata usiende mbali. Do u still remember the zanzibar uprising? Just geuss ni kina nani walioitwa kuja kuregeshaeta amani all the way from kenya.Polisi wa Kenya ni walaini sana.. Wanaweza tu kupiga watu wakiandamana.. Wakikutana na vidume wenzao kimyaa
Dont be so petty. Before 2011 we did not have our troops in somalia and they still invaded our territory threatening our lives, economy and everything that we stood for and what we are still trying so hard to achieve. I believe u guys do not border somalia if u did you would probably know whats at stake here.
Zanzibar? When?Gsu ni wa laini sio? Ebu do some research on your own alafu uone. Ata usiende mbali. Do u still remember the zanzibar uprising? Just geuss ni kina nani walioitwa kuja kuregeshaeta amani all the way from kenya.
As a matter of fact those guys pia are the ones who prevented attempted coup back in 1982. And in 1986 they faught off UPDF after illegally crossing our boders.