Al-Shabaab raid Kenyan mosque, preach for hours

Let al shabaab lecture their fellow sympathizers, muslims protect their own and call u christians kafir

Acha ubwege wewe,hapa tunazungumzia udhaifu wa idara ya ulinzi ya kenya na jeshi lao,mtu anaingia katika nchi yako anafanya anavyotaka na anaondoka salama kabisa.

Wala sio suala la kuita wakristo makafiri,usilete uchochezi wa kidini.
 
Hakuna uchochezi wa dini hapa its the simple reality, ingekua wakristo wangekua wameshauliwa na al shabaab,most of the northerners in kenya sympathise with al shabaab and even fund them,they can tell who and who is al shabaab but since religion comes first before citizenship to them they cant snitch,alafu bwege ni wewe na bibi yako
 
Ingelikuwa ni nchi nyingine
ningeli waomba hawa majamaa wakasaidie taifa hahaha
lakini hawa wapumbavu wapenda sifa zakijinga wacha waendelee kusoteshwa ndani ya Taifa lao
IMG_20180426_163748_726.jpg
IMG_20180426_164022_547.jpg
IMG_20180426_163942_347.jpg
IMG_20180426_164003_648.jpg
IMG_20180426_163921_128.jpg
IMG_20180426_164051_098.jpg
 
Acha ubwege wewe,hapa tunazungumzia udhaifu wa idara ya ulinzi ya kenya na jeshi lao,mtu anaingia katika nchi yako anafanya anavyotaka na anaondoka salama kabisa.

Wala sio suala la kuita wakristo makafiri,usilete uchochezi wa kidini.
Wengine wakudharau tu
 
I think Kenya should be nominated as among the countries with poor army and security services.

Majamaa wanakaa msikitini masaa manne bila wasiwasi na hakuna polisi wala mwanajeshi wa kikenya aliyetia mguu humo.

Na yawezekana hata polisi na wanajeshi waliswalishwa na al shabaab
Hahaha mbona hilo linafahamika
KDF wao waambie Wizj
utawaona
 
Hakuna uchochezi wa dini hapa its the simple reality, ingekua wakristo wangekua wameshauliwa na al shabaab,most of the northerners in kenya sympathise with al shabaab and even fund them,they can tell who and who is al shabaab but since religion comes first before citizenship to them they cant snitch,alafu bwege ni wewe na bibi yako

Hizo ni mambo ndogo sana kujadili kwa sasa,kwa sababu hao magaidi wanajulikana kuwa sio watu wenye kutaka amani,mimi na kulaumu wewe unayeshindwa kuona udhaifu wa jeshi lako na wana usalama wa nchi yako unaenda kusingizia hao watu wa kaskazini,na unasahau hao hao watu wa kaskazini waliwaokoa wasio kuwa waislamu pale waliposimama kidete dhidi ya al shabab walipotaka kuwaua kwenye basi ya abiria.

Unapaswa kufahamu kwamba pamoja jeshi la kenya kuwepo Somalia bado hawajaweza kuwasimamisha shabab.

Ndo maana nikakuita bwege kwa kuwa jambo dogo kama hilo unashindwa kuliona,halafu unasema Bibi yangu ni bwege,hata kamani bwege lakini hawezi kukuzidi wewe.
 
Ill insist bwege ni wewe na bibi yako,a whole adult argues using insults, idiot, wewe ndio umenianza
 
Vyoyote itavyokuwa,lakini unapaswa kuondoa huo ujinga ndani ya akili yako kudhani kwamba kila udhaifu utokanao na idara ya usalama unatokana na watu flani ati wanapinga au wanaunga mkono ugaidi au ujambazi ,mengine ni uzembe wa wana usalama wenu na wala sio watu wa kaskazini au Pwani kuwa wanaunga mkono huo upumbavu,mnapaswa kushughulikia tatizo vile lilivyo na sio kusingizia watu wengine kwa udhaifu wenu wa kiintelijensia na ulinzi.
 
It gotta be your muslim
 
It gotta be your muslim
Tatizo lako ndio hilo,yaani unapenda kuangalia mambo katika mtazamo wa chini,yaani vitu visivyo na maana.

Pole ndugu,unatia huruma wewe badala ya kuangalia mambo ya maana wewe unaangalia mambo ya matabaka na ujinga mwingine.
 
Yaani unawavamia watu halafu unaanza kuhubiri, kha! Halafu na si wote ni waislamu? au aliona Shehe anapotosha maandiko!!!
 
Hahaaaaa very poor army in the region, na hao jamaa walisepa wote and were only three thugs,
Instead of rescuing the victims, KDF soldiers started gambling for breads and some cheap items in the mall.

Eti rescue mission mnaleta vifaru?
Don't they have special force( commando) units.
Kifaru ni kwa ajili ya kujikinga na risasi
 
Back
Top Bottom