Let al shabaab lecture their fellow sympathizers, muslims protect their own and call u christians kafir
Acha ubwege wewe,hapa tunazungumzia udhaifu wa idara ya ulinzi ya kenya na jeshi lao,mtu anaingia katika nchi yako anafanya anavyotaka na anaondoka salama kabisa.
Wala sio suala la kuita wakristo makafiri,usilete uchochezi wa kidini.