Al-Shabaab raid Kenyan mosque, preach for hours

Kifaru ni kwa ajili ya kujikinga na risasi
Toa upuuzi hapa! Nani aliyekudanganya kuwa kifaru ni kwaajili ya kujikinga na risasi?

Unajua kitu inaitwa armoured vehicle career?
 
Toa upuuzi hapa! Nani aliyekudanganya kuwa kifaru ni kwaajili ya kujikinga na risasi?

Unajua kitu inaitwa armoured vehicle career?
Kweli, kifaru hutumika in township warfare kujikinga na risasi from towers and other streets.
Armoured vehicle ndio nn?
 
Wakenya majeshi yenu yako goigoi sana.Yaani mnanyanyasika kwa masaa mawili na magaidi!
 
Haha kifaru cha kujikinga na risasi yale magari mnayotumiaga kufukuzia wafuasi wa odm kwani hayana uwezo wa kuzuia risasi??? Town warfare kwani hapo kulikua na vita ama wavuta bange wenzenu tu waliamua kuwajambisha
 


You are right. They need to step it up.

To have swaths of ungoverned regions where terrorist can commandeer for hours is a travesty.

Another reason why Tanzania has vehemently rejected the east African open border pipe dream.
 
Kenya ni Nairobi tu ukitoka nje ya Nairobi kila mtu na 50 zake
 
Kama mnajiona wanaume saaaaana si pia nyinyi mjaribu kuingia Hii war ya AL shabaab Muone Kama hio Danganyika yenyu itasurvive!! Kama USA wali withdraw? Nyinyi ndio Kina nani sasa kazi yenyu ni Udaku Mkijigamba hapa na Mliogopa War washienzi kabisa! ... Uganda walijaribu siku Mbili Wakashindwa... KENYA IS THE BOLDEST IN THIS WAR!! and that's why Tuli conquere Kismayu Kitu USA ilishindwa 2003
 
Hamjakatazwa Kuingia VITA Kama Mnajiona wanoma? Ingieni alafu Tuone Hio Dar Yenyu Ikifanywa Kismayu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mnadhani Alshabaab ni WEZI Wa Miwa Na Mifugo Huko Tz? Jaribuni... Kwanza Nyinyi ni LDC mtapewa Blow Moja Na reinforcement ya Alqaida Alafu Hio Bongolala yenyu Ikue Ghost town ndio mkuje kujazana Kenya Kama Wakimbizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa hiyo KDF ni bora kuliko US marines? Kila siku mnapukutika huko na alishabab wanatembea mchana kweupe huko Nairobi bila shida[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…