Al-Shabaab raid Kenyan mosque, preach for hours

Al-Shabaab raid Kenyan mosque, preach for hours

Kifaru ni kwa ajili ya kujikinga na risasi
Toa upuuzi hapa! Nani aliyekudanganya kuwa kifaru ni kwaajili ya kujikinga na risasi?

Unajua kitu inaitwa armoured vehicle career?
 
Toa upuuzi hapa! Nani aliyekudanganya kuwa kifaru ni kwaajili ya kujikinga na risasi?

Unajua kitu inaitwa armoured vehicle career?
Kweli, kifaru hutumika in township warfare kujikinga na risasi from towers and other streets.
Armoured vehicle ndio nn?
 
Wakenya majeshi yenu yako goigoi sana.Yaani mnanyanyasika kwa masaa mawili na magaidi!
 
Haha kifaru cha kujikinga na risasi yale magari mnayotumiaga kufukuzia wafuasi wa odm kwani hayana uwezo wa kuzuia risasi??? Town warfare kwani hapo kulikua na vita ama wavuta bange wenzenu tu waliamua kuwajambisha
 
I think Kenya should be nominated as among the countries with poor army and security services.

Majamaa wanakaa msikitini masaa manne bila wasiwasi na hakuna polisi wala mwanajeshi wa kikenya aliyetia mguu humo.

Na yawezekana hata polisi na wanajeshi waliswalishwa na al shabaab

You are right. They need to step it up.

To have swaths of ungoverned regions where terrorist can commandeer for hours is a travesty.

Another reason why Tanzania has vehemently rejected the east African open border pipe dream.
 
Kenya ni Nairobi tu ukitoka nje ya Nairobi kila mtu na 50 zake
 
I think Kenya should be nominated as among the countries with poor army and security services.

Majamaa wanakaa msikitini masaa manne bila wasiwasi na hakuna polisi wala mwanajeshi wa kikenya aliyetia mguu humo.

Na yawezekana hata polisi na wanajeshi waliswalishwa na al shabaab
Kama mnajiona wanaume saaaaana si pia nyinyi mjaribu kuingia Hii war ya AL shabaab Muone Kama hio Danganyika yenyu itasurvive!! Kama USA wali withdraw? Nyinyi ndio Kina nani sasa kazi yenyu ni Udaku Mkijigamba hapa na Mliogopa War washienzi kabisa! ... Uganda walijaribu siku Mbili Wakashindwa... KENYA IS THE BOLDEST IN THIS WAR!! and that's why Tuli conquere Kismayu Kitu USA ilishindwa 2003
 
Ingelikuwa ni nchi nyingine
ningeli waomba hawa majamaa wakasaidie taifa hahaha
lakini hawa wapumbavu wapenda sifa zakijinga wacha waendelee kusoteshwa ndani ya Taifa lao
View attachment 786555View attachment 786556View attachment 786557View attachment 786558View attachment 786559View attachment 786560
Hamjakatazwa Kuingia VITA Kama Mnajiona wanoma? Ingieni alafu Tuone Hio Dar Yenyu Ikifanywa Kismayu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mnadhani Alshabaab ni WEZI Wa Miwa Na Mifugo Huko Tz? Jaribuni... Kwanza Nyinyi ni LDC mtapewa Blow Moja Na reinforcement ya Alqaida Alafu Hio Bongolala yenyu Ikue Ghost town ndio mkuje kujazana Kenya Kama Wakimbizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama mnajiona wanaume saaaaana si pia nyinyi mjaribu kuingia Hii war ya AL shabaab Muone Kama hio Danganyika yenyu itasurvive!! Kama USA wali withdraw? Nyinyi ndio Kina nani sasa kazi yenyu ni Udaku Mkijigamba hapa na Mliogopa War washienzi kabisa! ... Uganda walijaribu siku Mbili Wakashindwa... KENYA IS THE BOLDEST IN THIS WAR!! and that's why Tuli conquere Kismayu Kitu USA ilishindwa 2003
Kwa hiyo KDF ni bora kuliko US marines? Kila siku mnapukutika huko na alishabab wanatembea mchana kweupe huko Nairobi bila shida[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom