Al Shabaab wauana wenyewe ndani kwa ndani kule Somalia

Al Shabaab wauana wenyewe ndani kwa ndani kule Somalia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Al Shabaab) waanza kupigana wao kwa wao hii ni baada ya tofauti kuibuka kati yao, kuna baadhi ambao walitaka kujisalimisha kwa serikali, ila wengine wakagoma na kuapa kuendelea kumpigania "mungu" wao.

The Federal government of Somalia has issued a statement announcing fresh fighting in the central coastal region of Mudug, a hotbed of terror.

The battle occurred in the vicinity of Harardere after two groups within Al-Shabaab disagreed over the surrender to the Somali army after a series of battlefield defeats.

A number of Al-Shabaab fighters who left their base in Dabagalo to give up themselves to SNA clashed with fellow combatants who resisted the move, sparking an hour gunfight.

"The skirmish started after fighters loyal to Al-Shabaab commander named Muheyadin Daqare left the area engaged in a battle with other militants," said the statement.

At least seven militants died in the combat which raged on for an hour. A number of Al-Shabaab members are in custody for trying to surrender to the government.

The infighting comes as Al-Shabaab lost grip in most strongholds in the south and central regions, including Hiran, where the group faced a massive military offensive last year.

The government is waging a war on Al-Shabaab, which President Hassan Sheikh said is the final push to end the insurgency of 15-year-long insurgency in the horn of Africa nation.
 
Nchi ya Somalia imeanza kukaa sawa na baadhi baada ya kwenda uamishoni wamejifunza amani na ustaarabu, wanataka kuiendeleza nchi yao hasa inachangizwa baada ya mchakato wa kujiunga na jumuia ya Afika Mashariki.

Tatizo, huko porini wanakosema wanampigania huyo mtu wao yapo maandazi fulani yaliyojaza makamasi kichwani badala ya ubongo, yametoka kwenye nchiu zao ndio yameenda huko yanapaka ndevu ina. Ndio wanaona amani ikipatikana somalia yatafanya nini ila wasomali halisi wameelimika sasa wanataka amani. Nadhani watatoa ushirikiano ili kima wote huko porini wasambaratishwe na wakikimbilia kwenye kambi za mapori ya drc wakutane na jeshi la kenya na south sudan na wakikimbilia kwenye kambi zao msumbiji wakutane na moto wa tanzania, rwanda na afrika ya kusini
 
Ila wewe MK254 una matatizo sana na una chuki ya wazi na dini ya kiislamu sijui tumekufanyia nini?

Utashangaa sana wakristo ni watu wa ajabu sana! kama vita ikipiganwa na vikundi vya nchi nyengine ambavyo sio waislamu kama Hao M23 wa hapo DRC hao wataitwa kikundi cha waasi, hawaitwi magaidi. Lakini ukiangalia vyote ni vikundi vya kisiasa tu kwa maslahi ya kisiasa lakini vikiwa kwenye nchi za waislamu wataitwa magaidi.

Hata huko America tunaona kila siku watu wanashika SMG na kuua wato ovyo mashuleni, kwenye malls na barabarani , lakini hao utasikia wanaitwa shooter sio gaidi ila akiwa aliefanya hivyo ni muislamu inabadilishwa na kuwa gaidi.

Hata huyo PUTIN laiti angekuwa muislamu wangesema vita ya kigaidi ni vile sio muislamu ndio wanasema mara dictator Putin n.k.

Hivi hamuoni aibu nyie au mishipa ya aibu imekatika? ni kama laana hivi inawatafuna tu
 
Hao Alshabaab, IS, Alqaida na wengineo ni wao wenyewe wanajitangaza kumpigania mungu wao kwa mgongo wa dini (uislam) na ni Uislam huohuo uliowaunganisha, ulitaka tuwaite magaidi wa kibudha wakati wenyewe wamejitangaza kuupigania uislam!!!??? Vitendo wanavyofanya ni vya kigaidi wala halina ubishi hilo so ni sahihi kuwaita magaidi wa kiislam na wao wanapenda kutambulika hivyo. Una mfano wa makundi mengine yanayopigana (kuua watu makusudi) kwa mgongo wa dini (isiyokuwa ya kiislam)?
 
Wavaa kobazi vikundi vyao vipo mlengo wa kidini hata wakiwa wanau lazima wataje jina la mungu wa waarabu ndio mana vinahusishwa na dini hata kama vinamlengo wa kisiasa. Unaelewa hata maana ya isis
acha kufata mikumbo ya media za west ndugu yangu hebu fanya uchunguzi wewe mwenyewe wa hayo unayoyasema . Tatizo nyie wakristo mnaaminishwa waislamu ni threat na viongozi wenu pamoja na hizo western media na nyie mnaziamini bila hata kufanya utafiti. Hebu wewe jirani yako ambaye ni muislamu amekufanyia ubaya gani? Hivyo vitu ni hoax tu acheni kupelekwa na maneno fanya utafiti mwenyewe.

Waislamu ni watu wema sana na wana tabia njema na hili hata wakristo wenyewe ni mashahidi.

Hao wa vikundi vya waasi ni wanasiasa tu kama wanasiasa wengine msituingize waislamu kwenye upuuzi wa siasa zao huko.
 
Hizi nadharia unaandika ilipaswa mhubirie magaidi wote kwenye mataifa tofauti ambao wanasema wanampigania 'mungu' wenu, lakini kama kawaida huwa mnapiga kimya na kuja kutuandikia nadharia kibao.

ila pia nataka ukane kweli hamna maandiko kama haya hapa chini, na ukane pia kwamba mohammad hakuhusika kwenye kuchinja wayahudi wa Banu Quraiza, maana hapo ndio laana yenu ilianzia.

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”

Hakuna vita yeyote iliyopiganwa kinyume na hizo aya nilizotaja hapo juu (Quran 2:190-193); yaani hakuna mtu aliyepigwa kama huyo mtu hajaanzisha vita na waislamu. na ikiwa muislamu atafanya hivyo basi ni dhambi kubwa ya kuua wasio na hatia..

Ila wewe ni mbishi tu wala huna jipya nadhani utakuwa umeajiriwa kwa ajili ya kuutukana uislamu . endelea na ajira yako inayokupatia mlo
 
Nimekuuliza je kuna haya maandiko kwenye vitabu vyenu, kana kweli hayapo, acha ngonjera
Na je mohammad alihusika kwenye kuchinja wayahudi wa Banu Quraiza
Na zaidi nauliza ukane je mohammad aligegeda katoto Aisha

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
hebu leta hizo clip tuone hapa tuone wapi wamesema wanampigania Allah!! utakuta wengi wanapigania uonevu katika nchi zao au rasilimali za nchi zao au wanataka kupewa madaraka ambazo ni mambo ya siasa tu. acheni kuwasingizia waislamu upuuzi wa vikundi vya ajabu ajabu. Hao ni waasi kama walivyo waasi wengine tu.
acha kutetea ujinga clip zipo nyingi nenda youtube utazikuta,wale waliosalimika kule garissa wanasema jamaa wakikukamata walikua wanakuuliza kwa dini yako wakigundua wewe ni muislam hawakuui ,wakigundua sio mwislam wanakuua.
 
acha kufata mikumbo ya media za west ndugu yangu hebu fanya uchunguzi wewe mwenyewe wa hayo unayoyasema . Tatizo nyie wakristo mnaaminishwa waislamu ni threat na viongozi wenu pamoja na hizo western media na nyie mnaziamini bila hata kufanya utafiti. Hebu wewe jirani yako ambaye ni muislamu amekufanyia ubaya gani? Hivyo vitu ni hoax tu acheni kupelekwa na maneno fanya utafiti mwenyewe.

Waislamu ni watu wema sana na wana tabia njema na hili hata wakristo wenyewe ni mashahidi.

Hao wa vikundi vya waasi ni wanasiasa tu kama wanasiasa wengine msituingize waislamu kwenye upuuzi wa siasa zao huko.

Kwanini hayo makundi yatokee katika uislamu tu kwanini sio imani zingine
 
Endeleeni na ujinga wenu wa kuutukana uislamu nyinyi ni watu msiotumia akili zenu vizuri. Kama kufanya hivyo kunawafanya mfurahi basi endeleeni kufurahia.

QURAN 5: 59-60
59.Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Hivyo mnatuchukia kwa kuwa tumemuamini Mwenyezi Mungu na tuliyo teremshiwa sisi na yaliyo teremshwa kabla, na kwa kuwa wengi katika nyinyi ni wapotofu? '

60. Sema: Je! Nikwambieni yule ambaye ni mwenye malipo mabaya zaidi kuliko hayo mbele ya Mwenyezi Mungu? Ni yule ambaye Mwenyezi Mungu amemlaani na amemkasirikia, na amewafanya miongoni mwao manyani na nguruwe, na wakamuabudu Shetani. Hao ndio wenye mahali pabaya na wamepotea zaidi njia iliyo sawa. "

Kwanini hayo makundi yatokee katika uislamu tu kwanini sio imani zingine

Kwa sababu yameagizwa kabisa kwenye maandiko ya dini ya waislamu, hamna haja ya kupaka kwa mgongo wa chupa, ukweli usemwe na kuweka watu huru, waislamu wakitulia na kuacha kuisumbua dunia hakuna atakayepoteza muda wake anawawaza, dini zingine zote budha, wahindu n.k. wanaabudu mavitu yao kwa amani na hakuna mtu hujishughulisha kuwafuatilia.

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
acha kutetea ujinga clip zipo nyingi nenda youtube utazikuta,wale waliosalimika kule garissa wanasema jamaa wakikukamata walikua wanakuuliza kwa dini yako wakigundua wewe ni muislam hawakuui ,wakigundua sio mwislam wanakuua.
Huko somalia wanauawa wasio waislam tu!?
 
Ukitaka kujua hao ni watu wa dini au la, soma maandishi kwenye bendela yao. Yameandikwa haya maneno kwenye Bendela yao.

لا اله الا الله محمد رسول الله

Anayetaka kujua maana yake anaweza pata tafsiri toka Google translate.

Mi nafichua kidogo tu yanasema.

Hakuna Mungu isipokuwa.............
Na............ni mtume wake.
Sijataja dini yoyote hapa
 
Back
Top Bottom