Al Shabab wavamia Kambi ya jeshi la Kenya Kolbiyow

Every time Tanzanians either from going to join al shabaab or returning back. Several have been killed too. You are sitting on a time bomb
 
Daaah! Ni wewe sasa unakosa adabu ukiendelea kuongea hivi

Ukweli usemwe Hakuna mtakacho kipata kule zaidi ya kupoteza maisha ya wakenya!!
mkumbuke kuwa hao watu hawana chakupoteza kule
Pia mjue kuna wakenya wanawake zaidi ya 300 wanashikiliwa Mateka na Alshbb
Serikali yenu hili haitaki kulizungumzia kabisa
Wanawake wale wanafanyiwa matendo mabaya sana kule,
Lazima mjue Somalia ni mfupa ulio mshinda fisi.
 
Kumbe jeshi la TZ hufanya nini?? Wamawahi ingia vita na Maghaidi?? Na usiniambia waasi!! Hilo jeshi linajua nini zaidi ya Militia?? Wacha wabaki tu huko Dar ile siku watajifanya watokee, ndio wataelewa yepi yanajiri duniani kweli maswala ya ughaidi
KDF ndio jeshi la hovyo Africa
hilo mpinge mkubari huo ndio ukweli
 
Ukweli usemwe Hakuna mtakacho kipata kule zaidi ya kupoteza maisha ya wakenya!!
mkumbuke kuwa hao watu hawana chakupoteza kule
Pia mjue kuna wakenya wanawake zaidi ya 300 wanashikiliwa Mateka na Alshbb
Serikali yenu hili haitaki kulizungumzia kabisa
Wanawake wale wanafanyiwa matendo mabaya sana kule,
Lazima mjue Somalia ni mfupa ulio mshinda fisi.
Mzee upo sikunyingi Kaka
 
KDF ndio jeshi la hovyo Africa
hilo mpinge mkubari huo ndio ukweli
Actually the Kenyan army is dealing with an Islamist group, which can be quite challenging. Taliban, ISIS etc are examples of such groups. They are weaker than ISIS and so are we tukijicompare na USA. But hio attack walishindwa kuifanya, they ended up dead. Wewe utaacha kuwaonea Wakenya wivu. Kama maisha yamekulemea huko LDC(Tanzania) niambie nikutafutie bwana mkenya
 
Ukweli usemwe Hakuna mtakacho kipata kule zaidi ya kupoteza maisha ya wakenya!!
mkumbuke kuwa hao watu hawana chakupoteza kule
Pia mjue kuna wakenya wanawake zaidi ya 300 wanashikiliwa Mateka na Alshbb
Serikali yenu hili haitaki kulizungumzia kabisa
Wanawake wale wanafanyiwa matendo mabaya sana kule,
Lazima mjue Somalia ni mfupa ulio mshinda fisi.
Naskia kuna chance kuna mafuta sehemu ya Jubaland huko Tanzania
 
Labda kama watu wengi tunachangia kwa masihara na ushabiki...but vita ya ugaidi ni ngumu sana na gharama sana.....sio open war ..hivyo hata kama uko na jeshi imara kiasi gan lazima uanngaike sana.....Marekani mwenyewe huko Somalia kulimtoa kamasi..kaamua kutulia tu, vita na ISIS tunaona na kuna coalition kibao...tena mataifa yenye nguvu still bado yanapata shida.....Fighting against terrorism inahitaji uewejezaji mkubwa sana katika kukusanya taarifa mbalimbali za siri kwa mbinu za juu zaidi ili kupunguza risk...Nchi za Africa hatuna financial muscle ya kuwekeza katika kupambana na ugaidi...
Angalien mfano wa Nigeria na hao Boko Haram....ni shida sana....
Tuacheni ushabiki.....vita ys ugaidi ni ngumu sana
 
Ukweli usemwe Hakuna mtakacho kipata kule zaidi ya kupoteza maisha ya wakenya!!
mkumbuke kuwa hao watu hawana chakupoteza kule
Pia mjue kuna wakenya wanawake zaidi ya 300 wanashikiliwa Mateka na Alshbb
Serikali yenu hili haitaki kulizungumzia kabisa
Wanawake wale wanafanyiwa matendo mabaya sana kule,
Lazima mjue Somalia ni mfupa ulio mshinda fisi.
Hamna tunachotafta huko zaidi ya kuhakikisha usalama ya taifa letu. Ni hilo tu
 
Al Shabaab si mchezo. Those islamist groups are very organised. Taliban imewasumbua USA. ISIS inawasumbua USA, Russia na other super powers. Btw Al Shabaab ni an affiliate wa ISIS
Kama unadhani usa wanashida ya kumaliza vita umejidanganya
 
Mi nionavyo, ugaidi ni mfumo tu mpya wa kiuchumi, sawa na ujangili, uharamia ktk stage za awali za ubepari. Hivyo, dunia haswa mataifa yaliyoendelea kiviwanda, hawana nia thabiti ya kuliondoa hili soko na mtaji wao wa kiuchumi, ugaidi.

Fikiria, eti wana silaha, wanazitoa wapi, kama kungekuwa na nia vikwazo tu vingewaangamiza. Usiniambie kwamba jeshi la Marekani, lishindwe kukusanya silaha zote kali zilizoko Somalia, haingii akilini kabisa. Hata kwa kuwalewesha kama alivyofanywa Sadam, nia haipo tu makampuni yanafanya biashara hapo.

NB: biashara zenye faida duniani ni pamoja na madawa na silaha.
 
Na kuexploit the resourses of these countries
 
Halafu hao si wageni Tz, wanaijua vyema sana. Kipindi cha Mkapa walisumbua sana Loliondo hata wakamuua na OCD wetu pale, walipopelekwa hao mbaowaita wapasua tofali, hata wenyeji walijuta kuwahifadhi. Jamani Tz ina damu na mbinu za kikomunist, maslahi yao ya kwanza ktk kada hii si uchumi, uchumi baadae huko. Ndo maana hata magari ya kwanza kuundwa Tz miaka ya 80 huko hayakuwa matrekta, ni ya kijeshi. Nawaza tu kwa sauti.
 
Na kuexploit the resourses of these countries
Na ugaidi ni mawakala wao ktk kutimiza azma hiyo, hawaaminiki hao. Inawezekanikaje, waasi kwenye landlocked countries kama Congo wamiliki vifaru? Vinapitia wapi? Dar port vimevukaje?

Bila umoja wa Africa wa kweli, hawa watatuchezea hadi tufe, kuna filamu iliigizwa inaitwa "mapanki" nasikia imepigwa ban.
Mi nionavyo, ugaidi ni mfumo tu mpya wa kiuchumi, sawa na ujangili, uharamia ktk stage za awali za ubepari. Hivyo, dunia haswa mataifa yaliyoendelea kiviwanda, hawana nia thabiti ya kuliondoa hili soko na mtaji wao wa kiuchumi, ugaidi.

Fikiria, eti wana silaha, wanazitoa wapi, kama kungekuwa na nia vikwazo tu vingewaangamiza. Usiniambie kwamba jeshi la Marekani, lishindwe kukusanya silaha zote kali zilizoko Somalia, haingii akilini kabisa. Hata kwa kuwalewesha kama alivyofanywa Sadam, nia haipo tu makampuni yanafanya biashara hapo.

NB: biashara zenye faida duniani ni pamoja na madawa na silaha.
 
No deaths have been reported yet, the KDF apparently repulsed the attackers with motars. And the fact that there' s no word yet from yhe Alshabby about the attack- to rub it on our faces means that it was not successful.
they tried but waliona moto kweli saa hii kdf wako chonjo aisee
 
Wawafanyie ujasusi wa kila aina, silaha zisiingie, dini zibadilishwe, watu wasomeshwe, maisha yabadilishwe, kumbi za starehe kwa vijana, klabu za mpira na michezo mingine, hata kiintelijensia tuwaachie wachukue kakombe la East Afrika, vyakula wapewe, wakati mwingine shida na kukosa cha kufanya hupelekea ujinga kichwani.

Afrika iungane, kijasusi kuwapunguza hawa wenye fikra hizo. Waislamu wa kweli wapelekwe wakahubiri kinyume na itikadi zao, kwa vyovyote vile, wakipunguziwa ushawishi wao kwa jamii, watadhoroteshwa, wapo wasio wapenda humohumo ndani ndo maana ikazaliwa Portland.
 
Ukweli usemwe Hakuna mtakacho kipata kule zaidi ya kupoteza maisha ya wakenya!!
mkumbuke kuwa hao watu hawana chakupoteza kule
Pia mjue kuna wakenya wanawake zaidi ya 300 wanashikiliwa Mateka na Alshbb
Serikali yenu hili haitaki kulizungumzia kabisa
Wanawake wale wanafanyiwa matendo mabaya sana kule,
Lazima mjue Somalia ni mfupa ulio mshinda fisi.

Huwa siwaelewi mazombi, hata kwenye mwezi wenu huu bado mnajilipua lipua, hebu ona leo London mumefanya yenu. Nyie hata shetani mumemshinda kwa maovu.
 
Hawa hawamjui hata huyo Mungu, na inawezekana hata chang'aa wanagonga, si kwanza walikuwa na kashfa ya kuwauzia watu nyama ya fisi hawa. Hawa ni wakuwafanyia all-out war nchi nzima, kafara itakuwepo ila sio mbaya wengine wanaishi poa watakaobaki.
 
Watu wengi hawawaelewi all shabab. Wakati mahkama za kiislam walipoangushwa na kuibuka All shabab na kuanza kusumbua Kenya, serekali ya Kenya kupitia kitengo Chao cha ujasus waliwapeleka vjana wng sana ili kujiunga na Al shabab ili kwa kuwatumia vijana hawa waweze kuwamalza Al shabab but vijana walipopelekwa na serikali kuniunga na Al shabab walijikuta wakisahau kilichowapeleka na kupigwa idiology na kua Al shabab hasa. Ukktaka kujua hili mtafute Mohammed Ali wa jicho pevu YouTube .hapo utapata ukweli.kiukwel Kenya itaendlea kupata pigo mpka itakapojisahihisha.
 
Its a fact the british army are always training in kenya, kdf and britain have been training together for years
 
Back
Top Bottom