Alaaniwe mtu anayepanga na kuchoma masoko DSM

Lengo haswa la anayechoma ni nini? Kweli vyombo vya usalama vimeshindwa kumbaini?
 
Walikua wanazichoma wenyewe hawapendi elimu dunia mana niya mzungu ambaye ni kafiri.

#MaendeleoHayanaChama
Elimu haijaanzia kwa mzungu,acha ujinga..wazungu wameenda kupigana Vita vya msalaba hata kutengeneza sukari hawawezi,itafute Syria na Iraq katika elimu ujue wanechangiaje...kuanzia chemistry,algebra,afya,cryptology nk
 
Wanafunzi!!..yaani Tanzania nzima!?..
 
Je masoko yaliendelea chomwa baada ya kauli hii? Je Nini kimetokea? Kwaheri
 
Kumbe mlitoa laana ya kuungua soko huku?

Laana ya jengo kudondoka na tume kuundwa ikala kwa urefu wa kamba na kuingia mitini mnatoa lini?
 
Kuna siku niliwaza sana, nikadhani saa nyingine watu wanachoma ili wapate upigaji mpya kwenye ujenzi na ukarabati.
......kuna watu wako kazini jamani msiwe kama hamuelewi ....wakitaka kuwatoa na wanakuwa wabishi ...wanachoma kuanza upya watu wana kazi zao.....woko Karume mbona waliwajua walikuja kama week 3 wakazoeana nao....wakaunguza na kupotea hadi leo....mipangonkazi hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ