Amani Benson
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 658
- 1,502
Mbona JPM alikuwa anatukana. Alikuwa wa uswahilini yule??..Si dharua ila acheni matusi
Kwa watasha au Kwa mafisadi na majizi ya nchi hii?π€£π€£π€£π€£ Acha kususa weww njoo uone mijengo huku mbweni kwa watasha
Okay poa mkuu wakishua..rejea kusoma namba 1 ulipo taka kuandika bila salamu ...imejitaip unachoandikaga maranyingi
Ushawai sikia akisema maku hadhari kama ninyi mnavyo fanyaMbona JPM alikuwa anatukana. Alikuwa wa uswahilini yule??..
Wakati unamwambia mwenzio eti avalie suruali kiunoni hili usimuone kama kibaka, waambieni na nyie dada zenu na mama zenu waache kuvaa vimini na vipensi vifupi vya kubana hili tusiwaone na wao kama Malaya, maana mnajikutaga wazungu dada zenu kuvaa nguo za nusu uchi huku mkitembea nao bila wasi wasi...Sio kuvaa suti vaa jeans yako vzr nguo ikae kiunoni fresh lakini mala mfuko wa nyuma wa jeans unakitambaa mmefunga vitambaa kichwani yaani kuna nguo fulani mnavaa uwa sifagilii kabisa af mtu ni vyepesi kuwa na maswali juu yako
Mwananchi: Mheshimiwa choo Cha stendi bei ni kubwa sanaUshawai sikia akisema maku hadhari kama ninyi mnavyo fanya
Jamaa unazingua, ila nimecheka sanaπ€£π€£Watoto wa uswahilini hawa maskini wenzetu ndo wanazingua niliwahi kumsalimia demu wa kiswazi eti akanijibu "Koma hii ngoma ya gari"
Nikakumbuka wimbo wa Profesa J wa zali la Mentali na mimi nikajibu kimashairi nikaimba ile verse
"Nikasema Inshaallah hii yote sababu fukaraπΆ
"Nisije nikakubaka nitupwe sero niwe kafaraπΆ
Umepiga kwenye mshono Mzee baba..Wakati unamwambia mwenzio eti avalie suruali kiunoni hili usimuone kama kibaka, waambieni na nyie dada zenu na mama zenu waache kuvaa vimini na vipensi vifupi vya kubana hili tusiwaone na wao kama Malaya, maana mnajikutaga wazungu dada zenu kuvaa nguo za nusu uchi huku mkitembea nao bila wasi wasi...
Dnt hate the player hate the game bro...pesa zipo nje nje tuzisake tuu hapana kulalama...ndio mfumo huoKwa watasha au Kwa mafisadi na majizi ya nchi hii?
Watu wa usalama wa Taifa wanapata wapi mishaara ya kujenga nyumba za 700m??
Hawa Huwa wanatabia ya kumjudge mtu Kwa muonekano wake na wanahitimisha Kwa stereotype walizonazo kichwani...Umepiga kwenye mshono Mzee baba..
Watoto wa kishua jau sana mkuu..π π π Mdau pole na changamoto hiyo lakini wengi wanao fanya haya mambo wazazi wao ndo waliumia, waliteseka, kwa vyovyote vile ili watoto wao waishi vizur jamii zetu za kia africa familia nyingi tunatokea kwenye umaskini ni familia chache sana ambazo wanautajiri wa kutoka zamani na wa kudumu.. Tupambane watoto wetu watoke katika makazi ambayo hayata kuwa stress sana kwao kwa umri wangu siwezi kujiposition kwa namna yoyote ile nimebakiza nafasi ya kumposition mtoto wangu ni atokee ushuan au uswazini.
Alafu ndio wanasema ni nyumba ya Mungu, asiyebagua na mwenye upendo kwa wote..Na hilo swala la ubaguzi siku hizi naona wamelileta mpaka kanisani
Wakikuona tu wewe hujapendaza wanaanza kukuhisi vibaya
Sawa ila wao wanabeba sifa mbaya zaidWakati unamwambia mwenzio eti avalie suruali kiunoni hili usimuone kama kibaka, waambieni na nyie dada zenu na mama zenu waache kuvaa vimini na vipensi vifupi vya kubana hili tusiwaone na wao kama Malaya, maana mnajikutaga wazungu dada zenu kuvaa nguo za nusu uchi huku mkitembea nao bila wasi wasi...
Ni nyumba ya MWENYEZI MUNGU sema waendaji wanaoingia kwenye hiyo nyumba ndo wanachangamotoAlafu ndio wanasema ni nyumba ya Mungu, asiyebagua na mwenye upendo kwa wote..
Ina maana alitoka ofisi na kuja kuhakikisha usalama wa gari yake ni baada ya kukuona wewe?1. Nilikuwa maeneo ya parking ya Magari pale kitengo cha mifupa MOI mwaka 2014, nikiwa ninamsubiria mgonjwa ndugu yangu, jamaa alikuwa ofisini kwake, akaja akakagua kama mlango wa gari lake umefungwa vizuri, kisha huyo bila salamu akarudi tena ofisini kuendelea na shughuli zake.
NB: Sio kila kijana anayetokea Mbagala, Temeke, Kivule, Buza, Keko, Tandale, Vingunguti ni mwizi au kibaka. Wengine dressing codes zao ni za hovyo kwa sababu ya umasikini tu lakini hizo tabia za udokozi hawana hata kidogo.
2. Mdogo wangu graduate wa kidato cha 4 alipewa Jukumu la kumsindikiza mgeni (mzungu wa Norway) aende Kariakoo shimoni kushangaa shangaa kidogo, lakini yule aliyempa dili (mtoto wa kishua) akawa ana msisitiza mara kwa mara ya kuwa "hakikisha haukimbii na camera zake, alafu usimuombe ombe hela" sasa dogo akawa ananiuliza "brother hivi huyu jamaa mbona ananiona kama vile mimi ni kibaka?"
Nyie wenye Good life watoto wa kishua, please show us some respect aisee. Sio kila kijana wa uswazi ni mwizi au kibaka, ndio maana wengine ni ndugu zetu lakini tunaogopa hata kuwatembelea huko Ununio na Mbweni kwa maana kwa mavazi yetu tu mtatuona kama vile wezi.
~ SIPENDI SIASA ~
Sawa tupeane ramani Sasa, tunaanzia wapi na sisi kuingia kwenye system tukanufaike?Dnt hate the player hate the game bro...pesa zipo nje nje tuzisake tuu hapana kulalama...ndio mfumo huo
Sasa kuna mawili, upigani na huo mfumo kama mataliba miaka 20 au tujiunge nao ili na sie tule asali
Akina nani hao?Sawa ila wao wanabeba sifa mbaya zaid
Mimi niko huwa niko tofauti kidogo. Kwenye shughuli zangu huwa naongeza umakini kwa mtu aliyevaa vizuri na watu wa dini pia nakua nao makini.umevaa nguo inaning'inia kwenye matako unataka watu wawaze nini?
"Wakamuambia mbona hata kuongea kwako Petro...."Acha zako mwana. Nitakuharibia Kichaa wangu..