ALAINE: Huyu mama wa Ki Jamaica anaimba sana

Wapenzi wa sweet reggae tafuteni nyimbo za huyu mama Sauti na melody kali sanaaa. Kifupi huyu ni healer kupitia nyimbo zake.
Miaka ya 2007-2009 Kuna ring tone yake moja nilijiwekea kama Nokia yangu song la Deeper, ilinipa mchumba hapo Moro kwenye daladala za kutoka bigwa-Soko kuu. Sophie popote ulipo salamu nyng sana zikufikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…