ALAINE: Huyu mama wa Ki Jamaica anaimba sana

ALAINE: Huyu mama wa Ki Jamaica anaimba sana

Shida ni moja.. Wabongo wengi mziki mzuri hatuujui na wala hatuutaki.

Nenda BUZA, TEMEKE etc weka mkusanyiko wa watu then upige nyimbo ya huyo Dada, then upige na ya Zuchu (SIJI/HONEY) ndio utajua kuna kundi kubwa ni uncivilized na pia hawapo attached na good music.

Mziki mzuri ni medicine napenda good music..
 
Back
Top Bottom