Hadi inavuka 10m wanamuangalia tu.Mkazi wa Dar es Salaam, Denis Mfumbulwa mwenye miaka 44 amefikishwa mahakama ya mwanzo ya Kariakoo akidaiwa kujipatia malazi na chakula kwenye hoteli ya Serena kitapeli vyenye thamani ya milioni 21.4
Baada ya kupata huduma, mdaiwa alitokomea kusikojulikana. Mfumbulwa alikana mashtaka hayo. Pamoja na dhamana kuwa wazi, mshtakiwa amebaki rumande baada ya kushindwa masharti yake ya kuwa dhamana iliyosainiwa ya milioni 10.
Ila kalala na kula vitam na vichenchede kadhaamiezi 6 jela hamna namna
Na kazi ngumumiezi 6 jela hamna namna
Mkuu funguka zaidi maana inashangaza kuona mtu anakula hoteli deni linapanda na hoteli haichukui hatuaHiyo kesi Ina miezi zaidi ya sita kama sikosei na huyo jamaa alikuwa na wenzake. Walianzia Hyatt wakaenda Rotana, mwisho wakakamatiwa Serena. Alikuwa na wakenya. Kuna watu wamdpiga pesa wakenya wameachiwa
Ila kuna watu wana tabia, tamaa na mambo ya ajabu. Hutakiwi kulazimisha maisha ishi kulingana na uwezo wako.Hiyo kesi Ina miezi zaidi ya sita kama sikosei na huyo jamaa alikuwa na wenzake. Walianzia Hyatt wakaenda Rotana, mwisho wakakamatiwa Serena. Alikuwa na wakenya. Kuna watu wamdpiga pesa wakenya wameachiwa
Nahs Deni lilikua interms of USD,wakarahisisha,almost Kama dola 8000+ hiviMkuu funguka zaidi maana inashangaza kuona mtu anakula hoteli deni linapanda na hoteli haichukui hatua
Semenya wa ukaldayo huyo ni Kobaaz kajipachika tu jina la kigalatia.Semenya Maghayo kamsaidie mgalatia mwenzio.