Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii imenikuta jana Arusha baada ya kunywa castle light zangu mbili nikasema ninywe shots mbili za JD Old No. 7 ili niweke kichwa sawa nmemaliza tu ile nataka kulipa nitoke naambiwa ni 25000 uzuri pale walkua wana lipa namba ya nmb nikaclear ila ni ukweli usiopingika nilienda nje ya bajeti parefu sanaUtakuta alikua hajui gharama za hio hotel, alidhani ni zile lodge za mtaani soda Tsh buku. Unakuta alikua na kamilioni ame bet akaona akajipongeze.
Baada ya bill kuja akaona uwezo wa kulipa hana bora kutokomea kusikojulikana, hii inawakuta wengi unafika sehemu unaagiza msosi wakati hufahamu utaratibu wa eneo hilo.
Usilolijua....usimalize manenoUtakuta alikua hajui gharama za hio hotel, alidhani ni zile lodge za mtaani soda Tsh buku. Unakuta alikua na kamilioni ame bet akaona akajipongeze.
Baada ya bill kuja akaona uwezo wa kulipa hana bora kutokomea kusikojulikana, hii inawakuta wengi unafika sehemu unaagiza msosi wakati hufahamu utaratibu wa eneo hilo.
Atakua MHAYA tu. Ndo wanapenda mashauxi na hawana pesa.Siku ngapi hapo alikaa?
HATA MM MKUU NIMEWAHI KAA BEARCHWOOD HOTEL JNB KWA WIKI MOJA YA PILI VURUGUZAKE NKAAMUA KULIPA HUYU NAHISJ ALIKUWA NA HIRIZI KUWAFUNGA MANAGERSijaelewa bado
Ninavyojua unalala hotel na kulipia huwezi kusema nalala mwezi ntalipa mwisho wa mwezi
Sijaelewa na hakuna wa kuelezea mkasa ulivyo
Waandishi wetu makanjanja sana wakajifunze aisee
M nililipa 45000 nkaletewa chai yamaziwa mikate sometimes zagakadhaa nkajua nxty n main meal mpaka sasa nasubiria kwangu labda watantumia achakaabisàNilikaa pale Serena siku 5 wana huduma nzuri sana na za bei rahisi kikombe cha kahawa iliku ni million 2 na ilikua lazima ninywe vikombe viwili asubuhi na jion siku zote 5
Chupa ya maji ya litre 1.5 nilikua nanunua laki 5 kwa siku lazima ninywe maji ma 3.
Soda walikua wanauza laki 8 lakini kwakua nimeacha kunywa soda ilibidi niwe nakunywa juice glass 1 ya laki 9½
Maelekezo hayajakaa vizuri bado ? Kila mkutano lazima uwe na kiongozi anaesema wageni wake wangapi na malipo yanakuaje,na ikitokea kaongezeka mtu lazima ajuzwe Ili acomfam.Mbona wizi wa kijinga sana huu!?
Akikana haja chukua cash counter itakuwaje? Kumbe hizi hotel kwa nje zinatisha tu ila operations zake kwa ndani ni hovyo hivi!
Eti nipo na ugeni fulani hivyo tupatie kiasi kadhaa ili tufanikishe mambo Yote.. Hela hiyo weka kwenye bili... 🤣🤣🤣
Hamna kitu kama hicho, ukifanya kazi kwenye kampuni au shirika fulani ili ulale hoteli bila kucash, shuruti kampuni/shirika wawe na mkataba na hoteli husika, na huwezi kwenda bila kufanyiwa booking na kampuni/shirika husika.Mbona wizi wa kijinga sana huu!?
Akikana haja chukua cash counter itakuwaje? Kumbe hizi hotel kwa nje zinatisha tu ila operations zake kwa ndani ni hovyo hivi!
Eti nipo na ugeni fulani hivyo tupatie kiasi kadhaa ili tufanikishe mambo Yote.. Hela hiyo weka kwenye bili... 🤣🤣🤣
Mkuu habari za jioni?Nilikaa pale Serena siku 5 wana huduma nzuri sana na za bei rahisi kikombe cha kahawa iliku ni million 2 na ilikua lazima ninywe vikombe viwili asubuhi na jion siku zote 5
Chupa ya maji ya litre 1.5 nilikua nanunua laki 5 kwa siku lazima ninywe maji ma 3.
Soda walikua wanauza laki 8 lakini kwakua nimeacha kunywa soda ilibidi niwe nakunywa juice glass 1 ya laki 9½
Imagine ungekuwa na rafiki zako.hii imenikuta jana Arusha baada ya kunywa castle light zangu mbili nikasema ninywe shots mbili za JD Old No. 7 ili niweke kichwa sawa nmemaliza tu ile nataka kulipa nitoke naambiwa ni 25000 uzuri pale walkua wana lipa namba ya nmb nikaclear ila ni ukweli usiopingika nilienda nje ya bajeti parefu sana
Inanikumbusha kipindi hicho nachukua degree ya journalism chuga pale basi nikaielewa pisi Moja ya Kimbulu toto jeupee tako kama lote nikapiga sound ikawa kama inamuelekeo.
Tatizo ikawa inanipiga kalenda mambo ya kunyanduana mara ooh mapema sana kifupi manzi needed a dinner first.
Nikapiga hesabu akiba ya maisha nina kama 25 za kumalizia ada ya mtihani nkamwambia manzi achague sehemu maana nataka nikamfurahishe hadi adate na roho yake...Big mistake
Manzi kanitajia grand milia sijui milea Ile,yaani sitaki kumbuka the humiliation I went through dat day.
Picha linaanza pale soda ni buku 7.
Maalim ilikuwaje akawa na deni? Mbona alikuwa anaonekana sio mtu wa dhiki?Hii ya kawaida, maalim saif alikuwa na kajideni hapo, kuna mwanakwaya aliwahi kupangishiwa hapo
Mwamba alitaka atrend
Maalim ilikuwaje akawa na deni? Mbona alikuwa anaonekana sio mtu wa dhiki?