Alala na kula Serena kisha kutokomea bila kulipa deni la milioni 21, adakwa na kufikishwa mahakamani

Alala na kula Serena kisha kutokomea bila kulipa deni la milioni 21, adakwa na kufikishwa mahakamani

Ila kuna watu wana tabia, tamaa na mambo ya ajabu. Hutakiwi kulazimisha maisha ishi kulingana na uwezo wako.

Kuna mtu na mke wake wazungu watu wazima tu huko uingereza tabia yao ilikuwa kula restaurant nzuri ghali wanaagizia steaks wakishamaliza hawalipi bills hadi za pauni 200 CCTV footage zikawaumbua. Wakatangazwa na kusanikwa kwenye magazeti ya umbea ya uingereza (tabloids) the sun na dailymail. Wameshikwa na kushtakiwa.

Yani ukiwaona muonekano wao kwa nje ni nadhifu huwezi kuwashuku.

Black Sniper
Hii habari kama nilisikia walikuwa wayahudi.
 
Mkuu funguka zaidi maana inashangaza kuona mtu anakula hoteli deni linapanda na hoteli haichukui hatua
Mkuu funguka zaidi maana inashangaza kuona mtu anakula hoteli deni linapanda na hoteli haichukui hatua
Hao jamaa wanachokifanya, wanakusanya data za Moja ya makampuni makubwa ambayo yanafanya mikutani hotelini hapo. Wakishapata data wanakuja Kwa kigezi kuwa wako kwenye mkutano wanaingua wanatumia wakidainkuwa kampuni Yao italipa gharama zote. Mbaya zaidi wanachukua hafi keshi mapokezi wakidai bill uende kwenye kampuni. Mpaka wafanya kaxi wa hoteli wahstuke unakuta watu wamekaa siku
Kadhaa. Hapo ndio kizaazaa kinaanzia.
 
Usikute alikuwa anawatoa tip za maana wahudumu, vinginevyo ni ngumu kufikisha hilo deni!

Kuna miniseries inaitwa Inventing Anna,ni true story huyo Anna alikuwa anazurula kwenye 5stars hotel ikifika muda wa bill anajifanya card imezingua [emoji1]
 
Mkazi wa Dar es Salaam, Denis Mfumbulwa mwenye miaka 44 amefikishwa mahakama ya mwanzo ya Kariakoo akidaiwa kujipatia malazi na chakula kwenye hoteli ya Serena kitapeli vyenye thamani ya milioni 21.4

Baada ya kupata huduma, mdaiwa alitokomea kusikojulikana. Mfumbulwa alikana mashtaka hayo. Pamoja na dhamana kuwa wazi, mshtakiwa amebaki rumande baada ya kushindwa masharti yake ya kuwa dhamana iliyosainiwa ya milioni 10.

Mwamba naona alijua ataambiwa tu aoshe vyombo kama wafanyavyo mama ntilie 😀
duh kajichanganya
 
Ila kuna watu wana tabia, tamaa na mambo ya ajabu. Hutakiwi kulazimisha maisha ishi kulingana na uwezo wako.

Kuna mtu na mke wake wazungu watu wazima tu huko uingereza tabia yao ilikuwa kula restaurant nzuri ghali wanaagizia steaks wakishamaliza hawalipi bills wanatoroka hadi za pauni 200 CCTV footage zikawaumbua. Wakatangazwa na kuanikwa kwenye magazeti ya umbea ya uingereza (tabloids) the sun na dailymail. Wameshikwa na kushtakiwa.

Yani ukiwaona muonekano wao kwa nje ni nadhifu huwezi kuwashuku na kuamini hawa.

Black Sniper
Dunia ina mambo hii
Yaani wanaishi maisha ya ajabu sana
 
Hao jamaa wanachokifanya, wanakusanya data za Moja ya makampuni makubwa ambayo yanafanya mikutani hotelini hapo. Wakishapata data wanakuja Kwa kigezi kuwa wako kwenye mkutano wanaingua wanatumia wakidainkuwa kampuni Yao italipa gharama zote. Mbaya zaidi wanachukua hafi keshi mapokezi wakidai bill uende kwenye kampuni. Mpaka wafanya kaxi wa hoteli wahstuke unakuta watu wamekaa siku
Kadhaa. Hapo ndio kizaazaa kinaanzia.

Mbona wizi wa kijinga sana huu!?

Akikana haja chukua cash counter itakuwaje? Kumbe hizi hotel kwa nje zinatisha tu ila operations zake kwa ndani ni hovyo hivi!

Eti nipo na ugeni fulani hivyo tupatie kiasi kadhaa ili tufanikishe mambo Yote.. Hela hiyo weka kwenye bili... 🤣🤣🤣
 
Sijaelewa bado
Ninavyojua unalala hotel na kulipia huwezi kusema nalala mwezi ntalipa mwisho wa mwezi
Sijaelewa na hakuna wa kuelezea mkasa ulivyo
Waandishi wetu makanjanja sana wakajifunze aisee
Labda alikua mteja wao loyal. Mtu mwenye hela zake anadaiwa siku ya kucheck out! Unagiza tu mazaga wanaweka bill kwenye room yako mpaka siku unasepa ndo unalipa siyo lazima kila ukiagiza msosi au kinywaji ulipie hapo hapo
 
Kesi ndogo sana hiyo. Kwani hapo hoteli amekaa siku ngapiTuseme alikuwa analala chumba Cha laki tisa Kwa siku alafu ale na kumywa 2M.

Mbona wizi wa kijinga sana huu!?

Akikana haja chukua cash counter itakuwaje? Kumbe hizi hotel kwa nje zinatisha tu ila operations zake kwa ndani ni hovyo hivi!

Eti nipo na ugeni fulani hivyo tupatie kiasi kadhaa ili tufanikishe mambo Yote.. Hela hiyo weka kwenye bili... 🤣🤣🤣
Ndugu Kuna makampuni wafanyakaxi wao wanaruhusiwa kuchukua pesa hotelini na hoteli ikalipwa. Kuna watu wameajiriwa Eti. Na usidhani utaenda tu useme wakupe. Na wabongo mlivyo na njaa akikuoa $100 kesho utatoa mwenyewe akija tena 😂
 
Back
Top Bottom