Alala na kula Serena kisha kutokomea bila kulipa deni la milioni 21, adakwa na kufikishwa mahakamani

Hii habari kama nilisikia walikuwa wayahudi.
 
Mkuu funguka zaidi maana inashangaza kuona mtu anakula hoteli deni linapanda na hoteli haichukui hatua
Mkuu funguka zaidi maana inashangaza kuona mtu anakula hoteli deni linapanda na hoteli haichukui hatua
Hao jamaa wanachokifanya, wanakusanya data za Moja ya makampuni makubwa ambayo yanafanya mikutani hotelini hapo. Wakishapata data wanakuja Kwa kigezi kuwa wako kwenye mkutano wanaingua wanatumia wakidainkuwa kampuni Yao italipa gharama zote. Mbaya zaidi wanachukua hafi keshi mapokezi wakidai bill uende kwenye kampuni. Mpaka wafanya kaxi wa hoteli wahstuke unakuta watu wamekaa siku
Kadhaa. Hapo ndio kizaazaa kinaanzia.
 
Usikute alikuwa anawatoa tip za maana wahudumu, vinginevyo ni ngumu kufikisha hilo deni!

Kuna miniseries inaitwa Inventing Anna,ni true story huyo Anna alikuwa anazurula kwenye 5stars hotel ikifika muda wa bill anajifanya card imezingua [emoji1]
 
duh kajichanganya
 
Dunia ina mambo hii
Yaani wanaishi maisha ya ajabu sana
 

Mbona wizi wa kijinga sana huu!?

Akikana haja chukua cash counter itakuwaje? Kumbe hizi hotel kwa nje zinatisha tu ila operations zake kwa ndani ni hovyo hivi!

Eti nipo na ugeni fulani hivyo tupatie kiasi kadhaa ili tufanikishe mambo Yote.. Hela hiyo weka kwenye bili... 🤣🤣🤣
 
Sijaelewa bado
Ninavyojua unalala hotel na kulipia huwezi kusema nalala mwezi ntalipa mwisho wa mwezi
Sijaelewa na hakuna wa kuelezea mkasa ulivyo
Waandishi wetu makanjanja sana wakajifunze aisee
Labda alikua mteja wao loyal. Mtu mwenye hela zake anadaiwa siku ya kucheck out! Unagiza tu mazaga wanaweka bill kwenye room yako mpaka siku unasepa ndo unalipa siyo lazima kila ukiagiza msosi au kinywaji ulipie hapo hapo
 
Kesi ndogo sana hiyo. Kwani hapo hoteli amekaa siku ngapiTuseme alikuwa analala chumba Cha laki tisa Kwa siku alafu ale na kumywa 2M.

Ndugu Kuna makampuni wafanyakaxi wao wanaruhusiwa kuchukua pesa hotelini na hoteli ikalipwa. Kuna watu wameajiriwa Eti. Na usidhani utaenda tu useme wakupe. Na wabongo mlivyo na njaa akikuoa $100 kesho utatoa mwenyewe akija tena 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…