Unapewa bill unapotoka kwa hiyo inawezekana!Sijaelewa bado
Ninavyojua unalala hotel na kulipia huwezi kusema nalala mwezi ntalipa mwisho wa mwezi
Sijaelewa na hakuna wa kuelezea mkasa ulivyo
Waandishi wetu makanjanja sana wakajifunze aisee
Wahuni wamefukia na madeni yao humo...Hadi inavuka 10m wanamuangalia tu.
Daa naona huo utaratibu watabadili ingawa wengi wanakuuliza kama utakuwepo next day halafu wanakupa bill zako kadri siku zinavyokwenda.Kwenye hotel kubwa
Unapewa bill unapotoka kwa hiyo inawezekana!
Inawezekana piaLabda alikua mteja wao loyal. Mtu mwenye hela zake anadaiwa siku ya kucheck out! Unagiza tu mazaga wanaweka bill kwenye room yako mpaka siku unasepa ndo unalipa siyo lazima kila ukiagiza msosi au kinywaji ulipie hapo hapo
Huu ndio ukweli mkuu huyu jamaa ni rafki yangu sana miaka kama 19 hv ila kilichotokea cha ajabu sana ila atashinda hii kesiLabda alikua mteja wao loyal. Mtu mwenye hela zake anadaiwa siku ya kucheck out! Unagiza tu mazaga wanaweka bill kwenye room yako mpaka siku unasepa ndo unalipa siyo lazima kila ukiagiza msosi au kinywaji ulipie hapo hapo
Hapana pana vitu vimefichwa hapo mkuu hotel zote tena za hadhi hiyo uki book kama haujalipia siku kadhaa kabla ya kufika hapo wanafuta na room inakuwa wazi ila zipo zile za kulipia emergency na gharama yake inakua kubwa kidogo tofauti na ile unayoiona mtandaoni.Daa naona huo utaratibu watabadili ingawa wengi wanakuuliza kama utakuwepo next day halafu wanakupa bill zako kadri siku zinavyokwenda
Ila mpaka kufika hela zote hizo basi wengi watapigwa sana
WAandishi wahuni sana, mfano ni huyu amekuja kuanzisha uzi bila maelezo ya kutosha. Ningekuwa mods napiga ban ya wiki.Sijaelewa bado
Ninavyojua unalala hotel na kulipia huwezi kusema nalala mwezi ntalipa mwisho wa mwezi
Sijaelewa na hakuna wa kuelezea mkasa ulivyo
Waandishi wetu makanjanja sana wakajifunze aisee
Yaani ni mtihaniWaand
WAandishi wahuni sana, mfano ni huyu amekuja kuanzisha uzi bila maelezo ya kutosha. Ningekuwa mods napiga ban ya wiki.
Alikaa hotelini kwa muda gani?Mkazi wa Dar es Salaam, Denis Mfumbulwa mwenye miaka 44 amefikishwa mahakama ya mwanzo ya Kariakoo akidaiwa kujipatia malazi na chakula kwenye hoteli ya Serena kitapeli vyenye thamani ya milioni 21.4
Mkuu sikuweza kubisha maana unaona watu wanabuni tuHapana pana vitu vimefichwa hapo mkuu hotel zote tena za hadhi hiyo uki book kama haujalipia siku kadhaa kabla ya kufika hapo wanafuta na room inakuwa wazi ila zipo zile za kulipia emergency na gharama yake inakua kubwa kidogo tofauti na ile unayoiona mtandaoni pana vitu havipo sawa ndio maana imetokea hivyo...kwa makampuni mnaweza mkakubaliana na hotel ukawa unaenda kulipa kila baada ya mwezi mmoja au miwili unapeleka wageni tu inategemeana na makubaliano yenu ila sio mgeni mmoja utoke zako huko nyumbani eti utaenda kulala Serena bila kulipia Bill watakupa ukitoka daah hizo ni Camp Lodge labda..
Huyo hana tofauti na Dr. ShikaHuyu nahisi alienda kushtua umaskini, si umeona hata bond ya 10m hana..
New version ya Dr shikaHa ha ha.....sijajua jamaa aliwaza Nini😂
Kabisa aisee, ukikutana na wataalam wa hizo kazi unapigwa huku unajionaWewe bado hujakutana na miamba wanajua kamba hao..
Hapo ukute aliwaambia anasubili wafanya biashara wenzake kutoa Europe.
Pana vitu havipo wazi kwenye hii kesi mkuu...Mkuu sikuweza kubisha maana unaona watu wanabuni tu
Wengine sidhani kama wamelala hotel kubwa ila nazijua vizuri
Nimelala mpaka Radisson Blu au za hadhi kama hiyo lakini unalipa jinsi unavyolala
Unaweza ukawa na point pia ndio maana kuna mdau kasema labda ni mteja wq hapo kwa mda
Lakini mpaka kufika millions bado anaangaliwa tu
Sasa kama yeye kajiachia hivyo na ni wangapi wako loyal pia wanaachiwa pia si hotel itafilisika sasa
Hata Hotel zingine unaweza ukalala umelipia ila ukasema nitakuwepo kwa siku 3 zingine lakini siku ya pili ukaulizwa na mhudumu mwingine kuwa kuna hela uandaiwa
Na hivyo ndio ninavyojua ila nyumbani huko kama ni tofauti labda