Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,236
(Out of Point)
Nilikwambia Ungetoa statement ya Ukristo ili kubalance logic yako ya urembo..maana kwanza Wakristo wano vaa Rozary ni R.C na Sio Urembo kama ulivyo sema apo Awali
Kingine Muslim na wengineo usemao Sio wakristo

Ukimkuta muslimm kavaa rosali utaongea nn au pagani kavaa?!