Alama hizi za bra zinatokaje?

Vip zile bra mnazovaa zenye mikanda ya plastic pia huacha alama, jaribu kubadilisha labda tuanzie na kutafuta suluhisho la muda then ndiyo yaje mafuta

Super hero daddy
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Basi hapo utakuta na manengelo anatamani angekuwa na vidogo vidogo kama vya kwako kama vipi mfanye kubadilishana tu.

Maendeleo hayana chama
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...zaman sana nilikua namwambia maza napenda maziwa..na kweli Mungu akanigeaπŸ˜‚
 
Kuna mafuta yanaitwa lukman ni mazuri sana kurudisha ngozi katika rangi yake ya kawaida, hata mtu aliengua moto akiwahi kuyatumia katika stage ya mwanzo hua yanafuta kovu na rangi inarudi kama mwanzo.

Maendeleo hayana chama


yeah nayajua hayo sasa mm sijui nisemeje...sijaungua
 
yeah nayajua hayo sasa mm sijui nisemeje...sijaungua
Sio lazima kuungua hata ngozi ikibalika rangi ukitumia yanasaidia kurudi katika rangi yake ya asili.
Cha msingi usiwe unavaa bra za kubana na pia unapokua nyumbani uachane na bra manyonyo yapate hewa.
Ila mi ndo kaugonjwa kangu hako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Maendeleo hayana chama
 


Bas leo niyatafte mkuu...weee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…