Alama hizi za bra zinatokaje?

Me sina hizo alama.
Punguza kuzivaa sana, imagine kama unalala nazo lazima alama zibaki tu.
 
Jamaa angu naona shida una mtindi wa haja (akina sie wapenda mtindi wa haja wote tuseme AMEN)

Sina uzoefu sana na mademu mie ila nkwanini usivae zile za sports maana hhazna mikanda na ni kama top pia zinashikilia vizuri manido!

Ningekua na hela ningekuoa tu!! Vile tu YANANESA nakuwaga hoi....!
 
Picha plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi pia ninayo na sijui jinsi ya kuitoa. Labda tuacha kuvaa bra 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…